Read Unyama Lyrics By Feza Kessy Ft Kontawa
Read Unyama Lyrics By Feza Kessy Ft Kontawa. The song marks another time Feza has collaborated with another artist.
READ ALSO: Feza Kessy Drops A Brand New Single Titled "Siwezi" | LISTEN
Read Unyama Lyrics By Feza Kessy Ft Kontawa Below:
Ilikuwa kama movie
Me na we tumekuwa pamoja eeeh
Bila kuskiliza miluzi
Hot stories
Ya majirani na mashoga zangu
Nilipata vi-some news
Kuhusu wewe vikanitia uoga eeeh
Habari za kutisha tisha
Ningeziendekeza zingechachisha mboga
Ningejaji kitabu bila kusoma ndani
Pengine haya yote nisingeyaona
Tangu dereva nikukabidhi usukani
Unavyoendesha sijapata ona
Eeeh yale machungu niliyopitia
Umenifanya nipoteze kumbukumbu
Na sina tena idea
nimesahau nilipotoka eeeh
Eeeh sasa ukitaka kunichuna
Njoo nikupe kisu na mapanga eeeh
Ama ukitaka kuniroga
Sema nikupe namba za waganga
Baby baby
Unanifanyia maunyama
Baby baby
Ndio maana kwako nimekwama
Baby baby
Unanifanyia maunyama
Baby baby
Ndio maana kwako nimekwama
Kuna wazushi waliniambia una ngoma
Nikawajibu ntaiskiza kila kona
Nachokupenda kwenye penzi hauna formula
Unakichefua hadi kipofu anaona noma
Somebody told me
Umeniverify
Kwanza uko lowkey
Nakuzimia my gee
Navyokwambia sijutii toka tujuane
Napenda penzi na sio money
Ndo maana ukija uaiku wa manane
Nachukua tango tukatiane
Eeeh sasa ukitaka kunichuna
Njoo nikupe kisu na mapanga eeeh
Ama ukitaka kuniroga
Sema nikupe namba za waganga
Baby baby
Unanifanyia maunyama
Baby baby
Ndio maana kwako nimekwama
Baby baby
Unanifanyia maunyama
Baby baby
Ndio maana kwako nimekwama