LYRICS | You Lyrics By Harmonize
Read the official lyrics to You by Harmonize. You is Harmonize's dedication song where he admits that he did wrong to ex-girlfriend Kajala Masanja and therefore he asks for forgiveness.
READ ALSO: Read Bakhresa Lyrics By Harmonize
Read, sing aloud and enjoy the official lyrics of Harmonize's You.
INTRO
B Boy On The Beat
Hot stories
Mmmh Mmmh Yeah
VERSE 1
Mikono juu nasurrender
Acha dunia ijue muuni amependa
Wangapi walikuja wakaenda,
mbona ni weweee
Mwenzako nahesabu calendar
siku na masaa yanakwenda
Hebu fanya urudi nakupenda
basi nielewee eeh
Kitaniumbua kifo kifo nikiyaficha maradhi
Sikujua before before kumpata unaempenda ndio kazi.
Nimejaribu haka kawimbo kukuimbia pengine labda utakasikia,
Ishara tosha kuwa najutia
fanya unisamehe ni mambo ya ujana.
Moyo unakufa ganzi nikifikiria mazito tuliyoyapitia
Yaliyokufanya hutaki hata nisikia bado nahisi ni kama jana
BRIDGE
Hakuna aliyekamilika hata unaemdhani malaika
Bado anaweza kuwa shetani na ukasema bora mimi
Ndoto yangu bado haijafutika naamini siku itafika
Tumwite Sheikh na ubani au tufunge ndoa kanisani
CHORUS
Oooh Beibee
I Miss You
VERSE 2
Kweli mapenzi hayana ujanja
Hayajali jina, mkwanja
Yaani nimepita kila kiwanja ila nimenasa kwa mtoto wa masanja
Wewe ni mtu wa Mungu tena mlokole yanini app ya mange
Wapiga majungu wakina lokole wanaopakaza me nakula bange
Naanguka makosa tena nipo radhi kutoa posa
Basi fanya urudi malikia tuje kuanza tulipoishia eeeh eeeh
Waaambie mashoga zako si kwa ubaya, Ila me sipendagi kuongea
Unamsemaje mwenzako bangi mbaya kama hujawahi hata mgongea
BRIDGE
Hakuna aliyekamilika hata unaemdhani malaika
Bado anaweza kuwa shetani na ukasema bora mimi
Ndoto yangu bado haijafutika naamini siku itafika
Tumwite Sheikh na ubani au tufunge ndoa kanisani
CHORUS
Oooh Beibee
I Miss You
OUTRO
Of Course B Boy On The Beat
Konde Boy Call Me Number One
Bakhresa
It is what it is baby i want to come back
It is what it is baby i want to come back
Come Back, My Baby!
LISTEN TO THE SONG HERE :