Kiuno Lyrics By Killy Featuring Ibraah |READ
Read and Enjoy Kiuno Lyrics By Killy Featuring Ibraah. The song has been a hit in East Africa since the day of release.
READ ALSO: Rayvanny Releases “Kiuno” Music Video
Ouwoo oh oh eyee
Aliyeumba upendo ndo ameumba na mengine
Ila mi sina nyendo na kukupenda sishangai
Tabia na matendo oh oh oh macho hayajaona pengine
Isije tiki ya pendo ikawa ndo tena bye bye
Chunga majaribu yapo hayakwepeki
Unga tule kiapo usiwe feki
Usije kuwa taabu na dhihaki
Wapi nitaiweke sura niambie eh
Ukiniona mtu mzima nalia
Kwa ajili ya mapenzi usishangae
Ama umekiweza ah ah, hiki kifimbo cheza ah ah
Ah umezidi sifa na sina mtetezi
Hapo mbele nisije nikajiita baadae
Hot stories
Ona wanavyonibeza ah ah
Na si tunapendeza ah ah
Ona hicho kiuno ah ah, ah ah
Hio miguno ah ah, ah ah
Wengine mwenzako sidhani, ah ah ah ah
Hicho kiuno ah ah, ah ah
Hicho kiuno oh oh oh oh
Hio miguno ah ah, ah ah
Wengine mwenzako sidhani, ah ah ah ah
Hiyo kiuno ah ah, ah ah
Kila kitu wengine wamebarikiwa
We umebarikiwa
Kila kitu wengine wamebarikiwa
We umebarikiwa
Hicho kiuno ah
Kama umefunga mota unanipeleka peleka puta
Na sina cha kusema
Moyo ulivyousokota unanipandisha unanishusha
Tambua ya hivi bega, likaangwi na likaliwagwa
Ni watu kuniumiza baby njoo ndo usiniwache mwana
Nisiwe nikajuta kukupata
Ju walking yake nitakwenda lini
Mwenzako unanipa mashaka
Jua kwenye mapenzi hakuna ujasiri
Ona njoo nikulinde ka bodyguard
Nikuite baby uniite daddy
Japo kidogo pokea zawadi
Chonde usinipe rate card mama
Ukiniona mtu mzima nalia
Kwa ajili ya mapenzi yako usishangae
Maana umeniweza mama
Nyuma mkia wa pweza ah ah
Yaani umezidisha sifa na umenikoleza
Ukiniacha nisije nikakitapatae
Sitaki kukupoteza mama
Mbele sioni makengeza
Maana hicho kiuno ah ah, ah ahHio miguno ah ah, ah ah
Mwingine mwenzako sidhani, ah ah ah ah
Hicho kiuno ah ah, ah ah
Hicho kiuno oh oh oh oh
Hio miguno ah ah, ah ah
Wengine mwenzako sidhani, ah ah ah ah
Hio miguno ah ah, ah ah
Kila kitu wengine wamebarikiwa
We umebarikiwa
Kila kitu wengine wamebarikiwa
We umebarikiwa