SHARE

Sitosema Lyrics By Ibraah.

SHARE

Read and sing aloud to Sitosema Lyrics by Ibraah. This is the first song from Ibraah's debut album titled "King Of New School"

Sitosema Lyrics By Ibraah

READ ALSO: LYRICS | Rara Lyrics By Ibraah

Read, sing aloud and enjoy Sitosema Lyrics By Ibraah.

VERSE 1

Kalunde Takatuka twende mwanda weeh aaah mwanda wee

Sekunde maana muda ndo umesonga wee aaah songa weeeh

Sema wande japo umeniona mushamba weee aaah mshamba wee

Muda sekunde Mungu Baba ndo amepanga weee aaah panga weeh

Huna huruma weeeh tena ulinicheat na vizeee aaah vikongwe aah ulikuwa busy aaah mama wewe na moyo weeeh mmmh

Nilivyokufuma weee ilinibidi tu kwa upole nikuulize

Niliogopa kukupiga nsikuumize aaah mama wee kwa upole weeh

BRIDGE

Wala sikuringiaga ustar kukubeza eti mimi kukunyanyasa nilikutunza wala sikuwa tasa maana mimba yangu uliitoa

Masikini moyo wangu nshautakasa sina kinyongo nawe hata sasa maana nimefungua mpya kurasa ila sikufichi moyo umeutoboa

CHORUS

Yako ya ndani (sitosema mi sitosema) ata yale ya ndani (Sitosema mi sitosema) ata Siri za kitandani (sitosema mi sitosema) ata yale mabaya ( sitosema mi sitosema) sitosema na sisemi tena

VERSE 2

Acha tu nikuite wandoto mama weee umeniacha na msoto ujue mida ya kula nakumbukaga vile nilivyokulisha ukanilisha

Na michezo ya chumbani mi deko mama weee ile michezo ya kitoto ujue bado mimi inansumbuaga kichwani mwangu haitokagi kabisa

Eeeh siwezi kung'ang'ania kimwana wakati moyo wako haunihitaji tena acha mi nijinyime ninywe nizime huenda kesho sitokumbuka tena

Mapema sikudhania kimwana kama bazoka utanimeza utantema acha nizingatie heshima nikupatie nenda salama sitokusumbua tena

BRIDGE

Wala sikuringiaga ustar kukubeza eti mimi kukunyanyasa nilikutunza wala sikuwa tasa maana mimba yangu uliitoa

Masikini moyo wangu nshautakasa sina kinyongo nawe hata sasa maana nimefungua mpya kurasa ila sikufichi moyo umeutoboa

CHORUS

Yako ya ndani (sitosema mi sitosema) ata yale ya ndani (Sitosema mi sitosema) ata Siri za kitandani (sitosema mi sitosema) ata yale mabaya ( sitosema mi sitosema) sitosema na sisemi tena

OUTRO

Huna huruma weeeh tena ulinicheat na vizeee aaah vikongwe aah ulikuwa busy aaah mama wewe na moyo weeeh mmmh

Related

ADVERTISEMENT