Read Falling Again Lyrics By Kontawa
Read And Sing Aloud Falling Again Lyrics By Kontawa. The song marks another time Kontawa made a hit song.
READ ALSO: Read Unyama Lyrics By Feza Kessy Ft Kontawa
Read Falling Again Lyrics By Kontawa Below:
Mdomo koma
Mdomo nyamaza
Mara ya kwanza nakuona
Hot stories
Nilikuona kwenye Big Brother
Nikaumia sana kuskia
Una bwanaako
Ili nisione wivu ikabidi nifumbe macho
Nikaomba namba hadi kwa mashoga zako
Wakanambia nikitaka Feza nikahustle
But now ooooh oooh
Nikiwa na rafiki zako huwa nawauliza swali
For now ooh ooh
Yupi anamiliki Feza kati yangu na serikali
Hapo kati tembo na chui walinivuruga
Nikaona kama kwako ntapoteza muda
Ila uzuri mi nimesomea Cuba
Nikachukua kiberiti
Nikachoma mbuga
Me am falling in love again
I swear am falling in love again
Me am falling in love again
Again Again
I swear am falling in love again
Again Again
Watu wanasema ukiiba Feza
Kuna kesi
Mbona mi nimeziiba mbele ya Jeshi
Na hizi salamu ziwafikie hadi Maex
Nimeamua kuishi na Feza kama bank
Baby kuna watu kwako
Wanaleta chuki
Achana nao bwana
Akili zao fupi
Wanakusema hata pumzi
Hawakupi
Eti hiyo shepu umechonga Uturuki
Matajiri wanakutaka eeeh
Masikini wanakutafuta
Oya me nimekupata aaah
Wakatangaze msiba kwako nimekufa
Hapo kati tembo na chui walinivuruga
Nikaona kama kwako ntapoteza muda
Ila uzuri mi nimesomea Cuba
Nikachukua kiberiti
Nikachoma mbuga
Me am falling in love again
I swear am falling in love again
Me am falling in love again
Again Again
I swear am falling in love again
Again Again