SHARE

Deka Lyrics By Harmonize Ft Mabantu | READ

SHARE

Read The Official Lyrics To Deka By Harmonize Ft Mabantu. This is the second song that Harmonize has collaborated with East Africa's duo Mabantu.

Deka Lyrics Harmonize

READ ALSO: Read Bakhresa Lyrics By Harmonize

Read, sing aloud and enjoy the official lyrics of Deka by Harmonize Featuring Mabantu:

VERSE 1

Brother acha ujinga mtoto wa kike sifa yake kuringa

Ubahiri mwisho Iringa huoni kina konde boy wanavyo mwaga mandinga mmmh

Kajala one and two tena zote ni range mwenzetu umetuma ka laki tu na bado unauliza chenji

Eti kisa cha kumvimbia ni vipombe chips na vikuku

Brother ukijiona bondia kazichape na mwakinyo ama kiduku

Ndio maana akipendacho binti wahuni tunanunua ili ikifika mida ya miti asije akasumbuwa

CHORUS

Deka deka deka
Nikudekeze
Baby deka, hmmm hmmm deka
Aaaah deka nikudekeze
Baby girl deka deka deka
Deka nikudekeze, baby deka
Deka deka deka nikudekeze

Uhn uhn uhn uhn uhn
Si wanapenda kubang
Uhn uhn uhn uhn uhn
Kumanisha nini
Unaniletea u star
Me mwenyewe star
Heee, unaniletea u star
Me mwenyewe star

Yooo
Kwanza mama yangu star (star)
Baba yangu star (star)
Wanangu ma star
Weeeh, iyo bebe yangu star
Ex wangu star
Mchepuko wangu star
Inh sasa usinituletee u star

Wenzako tunajinyima kula mwili ukonde
Tupate na visix pack
Licha ya kunung’unula miuno ya kimakonde
Ila bado mademu wanatu pack
We unamtumia pengine hapati ati hata mia
Kipindi unakazana kumkaribia
Wenzako wanashindana kumgharamia
Aki aki akipendacho binti
Wahuni tunanunua ili ikifika mida yamiti Asije akasumbuwaa

Deka deka deka
Nikudekeze
Baby deka, hmmm hmmm deka
Aaaah deka nikudekeze
Baby girls deka deka deka
Deka nikudekeze, baby deka
Deka deka deka nikudekeze

Konde boy call me number one

Related

ADVERTISEMENT