SHARE

Read Mr Kuweza Lyrics By Dogo Janja Ft Kusah

SHARE

Read, enjoy and sing aloud Mr. Kuweza Lyrics By Dogo Janja Ft Kusah. The song is one of the best collaborations released in 2022 so far.

Mr Kuweza Lyrics

READ ALSO : Tamu Lyrics By Kusah Ft Saraphina | READ

Read, enjoy and sing aloud Mr. Kuweza Lyrics By Dogo Janja Ft Kusah Below :

Anaitwa janjaro hayaa hayaa
Anaitwa janjaro hayaa hayaa
Anaitwa janjaro

Naitwa janjaro nembo ya kilimanjaro
Bonge la nyang’au bonge la sharobaro
Ukiniona kama fala kiunoni kumejaa
Simuogopi mtu zaidi namuogopa jah
Peponi hakujajaa, kule kunanifaa
Au vipi JCB, umesikia pah
Me ndio super star, cheki ninavong’aa

Ndiomaana nakimbiza mpaka kwao dar
Me ndio mr kuweza we cheza unavyoweza
Ukicheza zakiswazi me ntacheza kingereza
Mtanigeza, nitawameza
Haswa mkileta ile michezo ya fedha

Hayaa hayaa (hayaa)
Hayaa hayaa, mtanambia nini
Hayaa hayaa (hayaa)
Hayaa hayaa, me wa ngarenaro

Kipindi na hustle namwaga jasho nalala macho wee

Leo ninacho nafuta jasho wanatoa macho wee

Kipindi na hustle namwaga jasho nalala macho wee

Leo ninacho nafuta jasho wanatoa macho wee

Mnajua me ni mnoma, nahivi sijasoma
Ila ninavyofanya wenyewe simnakoma
Nishatimba chaka zote, mwanza dodoma
Nahivi keshokutwa nakwenda kumcheki roma
RIP young D na wote wasiopendeza
Mwambieni young killer yule mzungu alinikonyeza
X wangu kanicheki, nikamkatia simu

Nikamwambia ebo unawazimu
Me ndio mr kuweza we cheza unavyoweza
Ukicheza za kiswazi me ntacheza kingereza
Mtanigeza, nitawameza
Haswa mkileta ile michezo ya fedha
Hayaa hayaa (hayaa)
Hayaa hayaa, mtanambia nini
Hayaa hayaa (hayaa)
Hayaa hayaa, me wa ngarenaro

Kipindi na hustle namwaga jasho nalala macho wee
Leo ninacho nafuta jasho wanatoa macho wee
Kipindi na hustle namwaga jasho nalala macho wee
Leo ninacho nafuta jasho wanatoa macho wee

Chochote anafanya hakuna asichokiweza
Anaitwa janjaro
Kutoka chini mpaka mr kuweza
Anaitwa janjaro
Chochote anafanya hakuna asichokiweza yee
Anaitwa janjaro
Kutoka chini mpaka mr kuweza oyoo oyoo janjaro

Kipindi na hustle namwaga jasho nalala macho wee
Leo ninacho nafuta jasho wanatoa macho wee
Kipindi na hustle namwaga jasho nalala macho wee
Leo ninacho nafuta jasho wanatoa macho wee

Related

ADVERTISEMENT