Tamu Lyrics By Kusah Ft Saraphina | READ
Read and Enjoy Tamu Lyrics By Kusah Featuring Saraphina. The song has been creating waves in Tanzania and East Africa in general since its release.
READ ALSO: Kusah Teams Up With Saraphina In A Brand New Song Titled “Tamu” | LISTEN
Read, sing aloud and enjoy Tamu Lyrics By Kusah Featuring Saraphina :
VERSE 1
Mapenzi raha, penzi utamu ni utamu utamu tu
Huniishi raha, huniishi hamu ni utamu utamu tu
Umenishika ki roho mbaya
Penzi letu liko on fire
Me unigusa pabaya kila kitu nasema haya
Hata wakupe nini, wakupe benz, wakupe lambo ama beamer
Thamani ya penzi hawawezi kuipima
Hot stories
BRIDGE
Ua la waridi tamu
Hili lanizidi tamu
Na kwenye baridi tamu
Joto likizidi tamu tamu tamuu
CHORUS
Tamu tamu tamu
Tamu tamu tamu
Tamu tamu tamu
Tamu tamu tamu
VERSE 2
Utamu wako umezidi asali, umezidi halua, umezidi tende
Sinachakufanya zaidii acha nikupende
Au na wewe nikuite mi amore
Tujaze na makopa love love
Oh baby give me more more, ooh darling
Wengine watanisema vibaya eti nimejichanganya
Acha wasema vibaya mi habari sinaa
BRIDGE
Ua la waridi tamu
Hili lanizidi tamu
Na kwenye baridi tamu
Joto likizidi tamu tamu tamuu
CHORUS
Tamu tamu tamu
Tamu tamu tamu
Tamu tamu tamu
Tamu tamu tamu