Read Leo Lyrics By Mabantu Featuring Marioo
Read, sing aloud and enjoy Leo Lyrics By Mabantu Featuring Marioo. The song marks another time that Mabantu has connected with Marioo to produce a hit song.
READ ALSO: Read Fall Lyrics By Platform Tz Featuring Marioo
Read, sing aloud and enjoy Leo Lyrics By Mabantu Featuring Marioo Below:
CHORUS
Leooo Mungu Ameniona, ameniona
Hot stories
Leooo Mungu Ameniona ameniona
VERSE 1
Jaza jaba gonga glasi leo mambo yote mneso (Amina)
Mungu amekata minyororo yote ya mateso (Amina)
Mvua Jua vilitupita na hatukua na leso (amina)
Ila tuliishi kwa imani tukiamini kesho (Amina)
Ukiona yanazidi sana majaribu,
Basi kusucceed ku karibu,
Nilidondoka nikainuka tena nikajaribu
Nikasema ipo siku Mungu atanijibu
CHORUS
Leooo Mungu Ameniona, ameniona
Leooo Mungu Ameniona ameniona
VERSE 2
Aaaah nilikuwa single ila leo niko na baby (Amina)
Nishalizwaga mpaka chozi nikajaza debe
Tena nabembelezwa nadekezwa dede (Amina),
Hatimaye leo tumewakata ngebe (Amina)
Wakileta leta mapepo (fire) wakitaka tuachane (fire)
Vineno neno vya chuki (fire)
Tukiachana mtuite mbwa tumekaa pale
CHORUS
Leooo Mungu Ameniona, ameniona,
Leooo Mungu Ameniona ameniona
VERSE 2
Leo natumia coz jana nilisettle (Amina)
Ile kupanda kushuka leo nami nina ghetto (Amina)
Dharau masimango tulishinda mateso (Amina)
Tuishi kwa imani na tuamini kesho ( Amina)
God when say nobody can say no nobody can say no
Mungu akisema inawezekana amna wakupinga wakupinga
CHORUS
Leooo Mungu Ameniona, ameniona
Leooo Mungu Ameniona ameniona