Read 'Wewe Hapo' Lyrics Lony Bway featuring Marioo
Read Wewe Hapo Lyrics Lony Bway featuring Marioo. The song has been well received in Tanzania and East Africa in general.
REAAD ALSO: Read Nakuja Remix Lyrics By Tommy Flavour Ft Marioo, Maua Sama & Darassa
Read Wewe Hapo Lyrics Lony Bway featuring Marioo below:
Yes roho yangu miii
Wewe hapo wa ubavuni
Unaeniwezea miii eeeh
Hot stories
Wewe hapo unaenipatia
Wewe hapo Aaaaah
Naonaga wenye shepuuu
Moja moja wakidondosha
Ila siwatamani
Mie we unantosha
Wanakujaga wenye vibunda
Aaaah wanaringishaaa
Ila siwatamaniiii
Aaaah we unantosha
Unapanda beibe
Wanashuka beii
Oooh nana waniweza bei
Unapanda beibe
Wanashuka beii
Oooh nana waniweza bei
Si unajua kipenzi yote hayo
Bila we siwezi iiiii
Sina nyayo kutembea siwezi
Aaaaaaah
Hapo hapo na umeniwezea
Ndo umenikolea
Ndo maana nataka ujue mi
Roho yangu wewe hapo
Wewe hapo wa ubavuni
Unanijulia wewe hapo
Aaaah sitangi sitangi
Siendi popote
Mi chambi chambi
Sina ila usiondoke
Naaa sitambi sitambi
Samaki yake maji sio tope
Mi nshaweka kambi
Kama unakufa wewe
Tufe wote
Si unajua mapenzi yotw hayo
Bila we siwezi sina nyayo
Kutembea siwezi aaaah
Hapo hapo ndo umeniwezea
Ndo umenikolea
You wanna give me your sugar eeeh
Ooooowe
Mabusu kila muda
Oooowe
Upendo umezama ndani kwangu
Sijielewi
Upo kila muda weeee
Oooowe
Sio Yuda weeeee
Oooowe
Usaliti mi sio vitu vyangu
Oooh babe we
Ndo maana nata ujue mi
Roho yangu miii
Wewe hapo wa ubavuni
Unaeniwezea miii eeeh
Wewe hapo unaenituliza
Dis time for Lony Bway