SHARE

Read Wenyewe Lyrics By Kusah Featuring Maua Sama

SHARE

Read And enjoy Wenyewe Lyrics By Kusah Featuring Maua Sama. The song is now making waves in East Africa.

READ ALSO: Read Napendwa Lyrics By Kusah

Read Wenyewe Lyrics By Kusah Featuring Maua Sama Below:

Kama ni gari umeliwasha limewaka

Na niko shwari iih  ukwia kando sina mashaka

Vile vituto vya chumbani vi udi na ubani

Vagi la sunami hadi nasema kunani

Iwe baridi kali ama joto

Yani kwenye raha na msoto

Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe

Iwe kwenye gari ama kwa ngoko

Yani we kulia me kushoto

Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe

Haya mapenzi, yana wenyewe

Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi

Jama mapenzi, yana wenyewe

Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi

Hallo

Tuhame huku kwenye bangaloo

Twende masaki tuwarushe roho

Mapenzi yetu yawakabe koo

Halloo

Mwendo wa kupima

Uzuri flani rangi ya madina

Nikutoe dinner

Wavimbe macho kama wachina oh oh oh

Iwe baridi kali ama joto

Yani kwenye raha na msoto

Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe

Iwe kwenye gari ama kwa ngoko

Yani we kulia me kushoto

Nitabaki me na wewe nitabaki we na wewe

Haya mapenzi, yana wenyewe

Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi

Jama mapenzi, yana wenyewe

Na wenyewe ndo sisi, ndo sisi

Related

ADVERTISEMENT