Read Napendwa Lyrics By Kusah
Read Napendwa Lyrics By Kusah. The song is Kusah's second song in 2023 and it is expected to make waves in East Africa.
READ ALSO: 'Wasiwasi' Lyrics By Kusah
Read Napendwa Lyrics By Kusah Below:
VERSE 1
Walahy mimi ,sitaki kitu sitaki chochote
Nataka mapenzi,
Kama sio hivyo mtanizika
Siumwi kitu siumwi chochote me
Naumwa mapenzi
Jama mwenzenu nimeridhika
Na Bado , akinipa ananipa
Na Kuna siku tunapaa
Funua funika aah..
Na tunafika kwenye paa
Eti will you marry me
Will you marry me?
Honey will you marry me
Mmh will you marry me ?
Eti will you marry me
Will you marry me?
Honey will you marry me
will you marry me ?
CHORUS
Mwenzenu niwaambieee
Sijawahi mimi
Kupendwa hivi
Mwenzenu niwaambieee
Napendwa mimi
Kushinda nyinyi
VERSE 2
Oya weee
Hili Penzi liko huku
Napewa vitamu huku
Kuna udambwi udambwi huku
Mbwembwe nyingi
Mambo kibaoo
Na tena mwenzenu huku
Nimejawa na shauku
Natamani yavuke huku
Tufike kwao
Me na yeye kitambooo
Tushamshinda shetani
Mambo yakwetu ya ndani
Hayatoki nje ni ya ndani kwa ndani
Na ananipa mambooo
Sio chini kitandani
Tukigombana kwa ndani
Hayatoki nje yanaishia kitandani
Eti will you marry me
Will you marry me?
Honey will you marry me
Mmh will you marry me ?
Eti will you marry me
Will you marry me?
Honey will you marry me
Mmh will you marry me ?
CHORUS
Mwenzenu niwaambieee
Sijawahi mimi
Kupendwa hivi
Mwenzenu niwaambieee
Napendwa mimi
Kushinda nyinyi