Yule Remix Lyrics by AY featuring Marioo
Marioo Lyrics
Read and sing aloud Yule Remix Lyrics by AY featuring Marioo. The songmarks another time Marioo has hopped on a classic Bongo Flava remix.
READ ALSO: Na Na Na Lyrics by Willy Paul ft Marioo
Read and sing aloud Yule Remix Lyrics by AY featuring Marioo below:
Eti nani ana namba yake
Hapa kuna teni limezagaazagaa
Nani anapajua kwake
Oyaaa hapa kuna teni linazagaazagaa
Umbo lake pale Yanga anavaa Aucho
Namba Nane
Kifuani kila saa anatembea na masaa
Saa sita
Moyoni mwangu huyu mama
Nimepa Diarra namba moja
Kiukweli nimempenda
Ila ndo sijui nifanyeje patamu hapo
Kwenye mashavu yake ana tushimo ooh
Huku na huku
Kajaliwa sura kajaliwa na shape mashaallah
Huku na huku nimechoka kumuota
Usiku naweweseka aaah
Someboy mwambie mi nampenda wallahi
Yule nampenda jinsi alivyo
Yule nampenda jinsi alivyo simple
Yule nampenda jinsi alivyo
Yule nampenda jinsi alivyo simple
Nitafanyaje patamu hapo
Yule nampenda jinsi alivyo
Yule nampenda jinsi alivyo simple
Yule nampenda jinsi alivyo
Yule nampenda jinsi alivyo simple
Nitafanyaje patamu hapo
Mmmh nitafanyaje patamu hapo
Wahuni nitafanyaje patamu hapo
Oooh nitafanyaje patamu hapo
Ooouh no no no patamu hapo
Anavyo tabasamu ndo anavyonipa hamu
Sura na umbo lake basi lanipa wazimu
Nataka kumfuata nahisi atakataa
Naogopa akinimwaga stori itazagaa
Umbo lake pale Yanga anavaa Aucho
Namba Nane
Kifuani kila saa anatembea na masaa
Saa sita
Moyoni mwangu huyu mama
Nimepa Diarra Aaah Aaaah
Kiukweli nimempenda
Ila ndo sijui nifanyeje patamu hapo
Yule anaesumbua akili yangu
Yule anaeumiza moyo wangu
Najua hafahamu najua hafahamu
Moyoni mi ntakufa na mawazo
Lakini kumwambia ndo siwezi mi
Yule nampenda jinsi alivyo
Yule nampenda jinsi alivyo simple
Yule nampenda jinsi alivyo
Yule nampenda jinsi alivyo simple
Nitafanyaje patamu hapo
Yule nampenda jinsi alivyo
Yule nampenda jinsi alivyo simple
Yule nampenda jinsi alivyo
Yule nampenda jinsi alivyo simple
Nitafanyaje patamu hapo
Mmmh nitafanyaje patamu hapo
Wahuni nitafanyaje patamu hapo
Oooh nitafanyaje patamu hapo
Ooouh no no no patamu hapo