Mchuchu Lyrics by Ibraah
Ibraah Lyrics
Read and enjoy Mchuchu Lyrics by Ibraah. The song marks another time Ibraah has scored a hit song in East Africa.
READ ALSO: Ibraah nurses a painful heartbreak on his new single ‘Mchuchu’
Read and enjoy Mchuchu Lyrics by Ibraah below:
Twenty four hours seven days per week
Simu hushiki kwani vipi
Unaniua wafoo message unazi blue tick
Simu hushiki kwani nimekosa lipi
Weeh Eeeh huchati na mimi
Huongei na mimi
Unachati na nani na nani niambie
Na ni ngumu kuamini hucheki na mimi
Unacheka na nani iiih na nani iiiih niambie
Mwenzako oooh naumwa aaaah
Ugonjwa wa mapenzi sio tenzi
Yataniua mapenzi eeeeh
Mi kwako oooh mtumwa aaah
Yataniua mapenzi eeeh
Yataniua mapenzi eeh
Mchuchu mchuchu we utaniua na stress
Mchuchu mchuchu we utaniua mi upesi
Mchuchu mchuchu naimba chorus hadi verse
Mchuchu mchu mchumba wangu eeeh
Mmmh Eeeeh Ooooh Yeeeah
Nasiishi kukuota usingizi wangu wa mashaka
Ama umenizidi nyota
Jua likichomoza moyo unanidai
Nataka sina pa kujipoza hayaaa
Kwani nilikosea nini mi
Cha kushindwa we kunielewa
Mbona nilikuthamini hadi ukasema una ngekewa
Sikukutelekeza mjini kwa sababu nakuelewa
Samehe saba mara sabini
Kwa Mungu fungu utawekewa
Mwenzako oooh naumwa aaaah
Ugonjwa wa mapenzi sio tenzi
Yataniua mapenzi eeeeh
Mi kwako oooh mtumwa aaah
Yataniua mapenzi eeeh
Yataniua mapenzi eeh
Mchuchu mchuchu we utaniua na stress
Mchuchu mchuchu we utaniua mi upesi
Mchuchu mchuchu naimba chorus hadi verse
Mchuchu mchu mchumba wangu eeeh
Mmmh Eeeeh Ooooh Yeeeah