Nimekumiss Lyrics - Anjella
Anjella Lyrics
Read and sing aloud Nimekumiss Lyrics by Tanzanian singer and songwriter Anjella.
READ ALSO: Anjella Makes A Grand Comeback With Her New "Blessing" Video
Read and sing aloud 'Nimekumiss Lyrics' by Anjella below:
Baby hata tukilala uanze kulala wewe
Afu ndo nilale mimi
Nikulinde madhara
Visikusumbue vijini visirani
Hata nikiwaga na njaa
Kula wewe afu ndo nile mimi
Hata kama sijala ukishiba wewe
Ndo furaha yangu mimi
Ya khabibi natamani tuwe ndege
Tukiruka mabawa yagusane
Ikibidi penzi tuliweke zege
Tuweke ukuta wabaya wasituone
Laazizi pamoja tusimame dede
Bega kwa bega si tuambatane
Tuweke ulinzi penzi lisiwe lege lege
Ai weeee Ai babaaaa
Baby nimekumisi nikutambie hadithi
Huku ukinikiss mi na wewe
Mi na wewe
Baby nimekumisi nikutambie hadithi
Huku ukinikiss mi na wewe
Mi na wewe
Nitakupa roho nitakupa na mtima
Nitakupa Kariakoo
Dar Es Salama nzima
Nitakupa cheo cha baba la baba
Alafu kwenye mwili nitachora chora
Jina lako
Umepewa macho unione mimi tu
Umepewa sikio unisikie mimi tu
Umepewa mgongo unibebe mimi tu
That's why everything i do for you uuuh
Ya khabibi natamani tuwe ndege
Tukiruka mabawa yagusane
Ikibidi penzi tuliweke zege
Tuweke ukuta wabaya wasituone
Laazizi pamoja tusimame dede
Bega kwa bega si tuambatane
Tuweke ulinzi penzi lisiwe lege lege
Ai weeee Ai babaaaa
Baby nimekumisi nikutambie hadithi
Huku ukinikiss mi na wewe
Mi na wewe
Baby nimekumisi nikutambie hadithi
Huku ukinikiss mi na wewe
Mi na wewe
Explore Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via Twitter and Facebook