SHARE

Read Unasema Nini Lyrics By Martha Mwaipaja

SHARE

Read Unasema Nini Lyrics By Martha Mwaipaja. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa in general.

READ ALSO: Read Natazama Mbali Lyrics By Martha Mwaipaja

Read Unasema Nini Lyrics By Martha Mwaipaja Below:

Unaseeema nini Yesu wangu 

Sema na mimi sasa 

Nakusikia 

Unaseeema nini Yesu wangu 

Sema na mimi sasa 

Nakusikia 

Unasema nini Yesu wangu 

Niko hapa mwanao nakusikia 

Niambie unasema nini

Sema sasa Baba nakusikia 

Umbali huu

Umenileta mwenyewe ili niendelee 

Nakusikia 

Dunia ni ngumu kuishinda 

Nishinde vipi nakusikia 

Niambie niendeleeeje nakusikia 

Mambo ni mengi vitu ni vingi 

Sema niishi vipi nakusikia 

Unaseeema nini Yesu wangu 

Sema na mimi sasa 

Nakusikia 

Unaseeema nini Yesu wangu 

Sema na mimi sasa 

Nakusikia 

Unaseeema nini Yesu wangu 

Sema na mimi sasa 

Nakusikia 

Unaseeema nini Yesu wangu 

Sema na mimi sasa 

Nakusikia 

Adui wapo watesi wapo tu 

Niambie nishindeje

Nakusikia 

Unasema nini kuniongoza 

Ili nisipotee nakusikia 

Majibishano mimi yamenishinda 

Niambie baba nakusikia 

Mapambano ya dunia yamenishinda 

Mwenyewe 

Niambie Baba nakusikia 

Unaseeema nini Yesu wangu 

Sema na mimi sasa 

Nakusikia 

Unaseeema nini Yesu wangu 

Sema na mimi sasa 

Nakusikia 

Unaseeema nini Yesu wangu 

Sema na mimi sasa 

Nakusikia 

Related

ADVERTISEMENT