SHARE

Read Natazama Mbali Lyrics By Martha Mwaipaja

SHARE

Read And Sing Aloud Natazama Mbali Lyrics By Martha Mwaipaja. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa.

READ ALSO:Read Salama Lyrics By Rose Muhando & Christina Shusho

Read Natazama Mbali Lyrics By Martha Mwaipaja Below:

Natazama mbali 

Wasikotazama wengine 

Ninaenda kule wanakokimbia wengi

Njia ni nyembamba sana 

Inatesa moyo oooh 

Ila naenda kule ndiko kwenye neema yangu

Natazama mbali 

Wasikotazama wengine 

Ninaenda kule wanakokimbia wengi

Njia ni nyembamba sana 

Inatesa sana 

Inaumiza moyo oooh 

Ila naenda kule ndiko kwenye neema yangu 

Namwona baba yangu ananiambia 

Mwanangu jitahidi 

Endelea mbele tuuuu 

Niko mbele yako daima 

Hebu jitahidi mwanangu neema ipo 

Ananiambia Yesu wangu 

Usichoke mwanangu niko mbele yako 

Jikaze kabisa nitakupzisha 

Kama ni maisha nitakupatia 

Ninakujua mwanangu ninakuelewa 

Najua wengine wamekukataa 

Nimeshakukubali nitakupa heshima 

Nitakupa baraka mwanangu endelea 

Mbaaliiii natazama mbali 

Mbali namuona Mungu wangu 

Mbaaali natazama mbali 

Mbaliii namuona Mungu wangu 

Mbaaali natazama mbali 

Mbaaali namuona Mungu wangu 

Mbaaali natazama mbali 

Mbaaali namuona Mungu wangu 

Mbele yupo Mungu mwenyewe 

Ni msaada wa karibu 

Natazama mbali sana 

Yesu wangu yupo 

Yupo na mimi 

Haleluya 

Asante

Ndugu tazama mbali 

Wasikotazama wengine 

Endelea mbele usirudi nyuma 

Muangalie Mungu tuuuu 

Ana kesho yako 

hebu jitahidi mbele kuna neema 

Anakujua Mungu unavyoteseka 

Anakujua maisha yalivyo kwako 

Anakwambia endelea tu 

Kama ni maisha atakupatia 

Wengine hawakuelewi 

Huyu Mungu anakuelewa endelea tu 

Yeye ni Mungu 

Maisha yako atakupatia 

Jitahidi kutazama mbali 

Mwamini Mungu atakupatia wanaokudharau 

Ni vile hawaelewi mbele yako 

Unamuona Mungu tu 

Mbaaliiii natazama mbali 

Mbali namuona Mungu wangu 

Mbaaali natazama mbali 

Mbaliii namuona Mungu wangu 

Mbaaali natazama mbali 

Mbaaali namuona Mungu wangu 

Mbaaali natazama mbali 

Mbaaali namuona Mungu wangu 

Natazama Mbali - Martha Mwaipaja

Related

ADVERTISEMENT