SHARE

Read Salama Lyrics By Rose Muhando & Christina Shusho

SHARE

Read Salama Lyrics By Rose Muhando & Christina Shusho. The song is produced by Tanzanian music producer, Abbah Process.

READ ALSO: Rose Muhando And Christina Shusho Drop A New Song "Salama"

Read Salama Lyrics By Rose Muhando & Christina Shusho Below:

Usifikiri Mungu haoni mateso yako 

Usijedhani Mungu hajui mapito yako

Usifikiri Mungu hasikii kilio chako

Hapo ulipo yupo kwenye mateso yupo

Kwenye pito lako yupo unapolia yupo

Amenyoosha mkono wake ili akusaidie 

Inua macho yako tazama ana haja na wewe wewe weeee 

Usiogope

Salama hiyo salama 

Kwako salama utatoka salama 

Salama hiyo salama 

Kwako salama utatoka salama 

Mateso na magonjwa utatoka salama

Umelia umechoka weeee 

Kila jaribu mpendwa lina kusudi lake 

Linapokuja limebeba baraka zako 

Hata ukidhihakiwa leo utatoka salama 

Yesu alitemewa mate alitoka kwa ushindi ii 

Salama salama salama utatoka salama 

Salama salama salama utatoka salama 

Usiogope

Salama hiyo salama 

Kwako salama utatoka salama 

Salama hiyo salama 

Kwako salama utatoka salama 

Umetupwa shimoni 

Salama hiyo salama 

Kwako salama utatoka salama 

Katikati ya watesi salama 

Hiyo salama 

Kwako salama utatoka salama 

Mwenye uwezo yupoo

Utakuwa salama 

Nakwambia ni salama eeh 

Ni salama 

Eeeh ndugu yangu ni salama 

Eeeeh ni salama 

Jipe moyo ni salama 

Salama hiyo salama 

Kwako salama utatoka salama 

Salama hiyo salama 

Kwako salama utatoka salama 

Pamoja na yesu ni salama

Salama hiyo salama 

Kwako salama utatoka salama 

Listen To Salama Here:

Salama - Rose Muhando & Christina Shusho

Related

ADVERTISEMENT