Read "Sing" Lyrics By Marioo
Read And Enjoy Sing Lyrics By Marioo. The song marks another time Marioo has scored a hit in Tanzania and East Africa.
READ ALSO: Read Nikazama Lyrics By Marioo
Read Sing Lyrics By Marioo Below:
Moyo kwako umekaa kaa oweyoo
Kila ukidunda Paa paaa oweo
We ndo nnaekuwazaga ga ga oweo
Hot stories
Waniwezaga oweo
Usifanye njia kwamba umenipitia
Utaniumiza dear
Nami mwanadamu mwenye moyo
Na majonzi pia
Si unasikia kulialia
Ndo nnachokihofia
Kama ushanigonga basi nionee
Huruma usiongeze gear
Uuuh nanana uwepo wako
Mi mwenzako naenjoy
Uuuh nana yani kwako
Nyang’anyang’a nipo hoi
Oooh nanana mi kwako sisemi
Sikohoi
Oooh nanana si unajua moyo
Moyo wangu kwako umekaa ka ka oweo
Kila ukidunda Paa paaa oweo
We ndo nnaekuwazaga ga ga oweo
Waniwezaga
You dey make me sing
Aaaah Aaaah Aaaaah
Baby Aaahh
Aaaah Aaaah Aaaaah
Baby you dey make me sing
Yani mpaka ladha zao
Za zamani nimesahau
Mesahau
Sura zao za zamani nasahau
Nasahau
Maana nikisikia kuhusu upendo
Nakuwaza wewe tu mahabuba
Na nikitakaga upendo
Nawaza lako tu huba
Na tukikwenda kwenye tendo
Unanifikishaga mpaka Cuba
Unakabaga uachi pengo
Si unajua
Moyo wangu kwako umekaa ka ka oweo
Kila ukidunda Paa paaa oweo
We ndo nnaekuwazaga ga ga oweo
Waniwezaga
You dey make me sing
Aaaah Aaaah Aaaaah
Baby Aaahh
Aaaah Aaaah Aaaaah
Baby you dey make me sing
Aaaah Aaaah Aaaaah
Baby Aaahh
Aaaah Aaaah Aaaaah
Ona naimba
Baby you dey make me sing