Read Nikazama Lyrics By Marioo
Read And Sing Aloud Nikazama Lyrics By Marioo. The song is now making waves in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Marioo Rocks With Paula Kajala In His New "Lonely" Video | WATCH
Read Nikazama Lyrics By Marioo Below:
Sina baya na wewe
Wala sijakukunjia
Ila sometimes mahasira si unajua
Wanadamu
Sina noma na wewe
Wala sijakununia
Ila nimekublock kwa sababu nkikuona
Nakosa hamu ya kula hata kulala
Mwenzako kazi nashindwa hata kufanya
Umenilogea wapi wewe
Aaaaah
Nashindwa kula wala kulala
Mwenzako kazi siwezi
Hata kufanya
Umenilogea wapi wewe
Hapana hujaniloga hujaniloga
Labda tu penzi lilinoga
Nikakupenda kiukweli ukweli
Nikaingia
Nikazama nikazama
Nikazama nikazama
Likitajwa jina lako ooooh
Moyo unanidunda ooooh
Yanijia sura yako ooooh
Siwezi kurudiana sitaki kurudiana
Ila sipendi kunakia na
Dukuduku rohoni
Tulipendana kwa shida
Tukaachana kifala sawa
Japo nililia mpaka ndugu
wakasema umeniloga
Hapana hujaniloga hujaniloga
Labda tu penzi lilinoga
Nikakupenda kiukweli ukweli
Nikaingia
Nikazama nikazama
Nikazama nikazama