SHARE

Read Sikuachi Lyrics By Kontawa Ft Maua Sama

SHARE

Read Sikuachi Lyrics By Kontawa Ft Maua Sama. The song is Kontawa's first release in in 2023 and is expected to make waves.

READ ALSO: Read Champion Lyrics By Kontawa Featuring Nay Wa Mitego

Read Sikuachi Lyrics By Kontawa Ft Maua Sama Below:

Kabla sijaswitch life 

Hukupindua meza 

Kipindi nauza mitumba natembea 

Na nguo kariakoo magereza 

Yaani kipindi sina good life 

Hukuwahi kunibeba 

Eeeh ulinambia nitafute

Sana pesa kama vile mimi 

Ndo nimepoteza 

Chumba kimoja cha kupanga 

Kuna doti moja tu ya kanga 

Kuna kipindi nilisanda 

Mpaka nikatamani 

Nikupeleke kudanga 

Baby Maisha tuliyoishi 

Tusingetoboa bila ubishi 

Nlivyohustle sikufichi 

Ata nikinunua ugomvi 

Nilikuwa nadai risiti 

Tumetoboa Tumetoboa 

Tumetoboa kwao Tumetoboa 

Amini kwamba Tumetoboa 

Tumetoboa Tumetoboa 

Tumetoboa kwao Tumetoboa 

Amini kwamba Tumetoboa 

Sikuachi mpaka milele 

Mungu ametuona leo 

Tuna mapene piga kazi 

Weee songa mbele 

Mungu Ametuona leo zamu ya 

Mi na weee 

Najua haya maisha bila mwiko 

Huwezi ukasonga mbele 

Hata kama hupendi watu 

Lazima utafute mchele 

Waliotusema vibaya 

Wanatuonea gere 

Sisi tunafuga ng'ombe wao wanafuga 

Nnywele 

Baby kipindi sina pesa uliposikia 

Njaa uliziba masikio leo nimepata pesa nianze kukukataa staki laana kama hiyo 

Ukitaja watu wasiocheat 

Me na we tumebakia 

Haupendi pombe lakini una mguu wa bia 

Embu sema unachotaka mi ntakufanyia 

Hata usipoona siku zako mi ntakutafutia 

Tumetoboa Tumetoboa 

Tumetoboa kwao Tumetoboa 

Amini kwamba Tumetoboa 

Tumetoboa Tumetoboa 

Tumetoboa kwao Tumetoboa 

Amini kwamba Tumetoboa 

Sikuachi mpaka milele 

Mungu ametuona leo 

Tuna mapene piga kazi 

Weee songa mbele 

Mungu Ametuona leo zamu ya 

Mi na weee 

Sikuachi - Kontawa

Related

ADVERTISEMENT