Read Siko Sure Lyrics by Nadia Mukami ft Darassa
Read and sing aloud Siko Sure Lyrics by Nadia Mukami ft Darassa. The song has been well received in East Africa.
READ ALSO: Otile Brown Joins Forces With Nadia Mukami In 'My Sugar' | LISTEN
Read Siko Sure Lyrics by Nadia Mukami ft Darassa below:
Siko sure kama nakupenda tena
Ngoja ninywe pombe
Nione kama ntakumiss
Hot stories
Siko sure kama nakufeel tena
Ngoja ninywe pombe
Nione kama ntakukiss
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Mahaba mapenzi mbona sitaki
Afadhali nimpende alonizaa
Sina wa kuniiita kicheche mama
Nami chi chi baba chi chi mama
Nami chi chi baba chi chi mama
Nami chi chi baba chi chi mama
Nami chi chi baba chi chi mama
Siko sure kama nakupenda tena
Ngoja ninywe pombe
Nione kama ntakumiss
Siko sure kama nakufeel tena
Ngoja ninywe pombe
Nione kama ntakukiss
Labda ……..
Baby umekula option nakuzingua
Au imeingia fashion nisoijua
Maana niko kwenye cheni
Nasuasua
Nimejaribu kureboot bado system
Ina ghushi ghushi
Siko sure kama nakupenda tena
Ngoja ninywe pombe
Nione kama ntakumiss
Siko sure kama nakufeel tena
Ngoja ninywe pombe
Nione kama ntakukiss
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe
Siko sure nawe nawe nawe