SHARE

Read Shemeji Lyrics By Mabantu Ft Baddest 47

SHARE

Read Shemeji Lyrics By Mabantu Ft Baddest 47. The song is found in Mabantu's recently released EP titled "University EP".

READ ALSO: Read Zagamua Lyrics By Baddest 47 Featuring Mabantu

Read Shemeji Lyrics By Mabantu Ft Baddest 47 Below:

Shemeji mrudie mwana

Shemeji mrudie mwana

Shemeji mrudie mwana

Oya shem kama shem

Shemeji mrudie mwana

Oya shem kama shem

Shemeji mrudie mwana

Shemeji mrudie mwana

Shem kama utamtoa roho

Shem kama utamtoa roho 

Shem kama shem we ndo copy ya mama mkwe 

Copy ya mama mkwe 

Sio kwa dada tu unapendwa na baba mkwe 

Unapendwa na baba mkwe

Shem juzi kwenye kikao kikuu 

Aliyejadiliwa ni wewe tu 

Mashemeji wote tumekubaliana 

mwanetu akuchore tattoo 

Shemeji mrudie mwana

Oya shem kama shem 

Shemeji mrudie mwana

Shem kama shem 

Oya shem kama shem 

Shem kama shem 

Utanitoa roho 

Shem kama shem 

Utanitoa damu 

Shem ndoa soon tunakuja na posa 

Kuja na kosa 

Fanya urudi home mwana tutamkosa 

Mwana tutamkosa 

Kwanza sisi wahuni tumemiss pishi lako 

Sisi sote tupo upande wako 

Sio semeni wala Ashura hakuna wa kukuzidi shem 

Shemeji mrudie mwana

Oya shem kama shem 

Shemeji mrudie mwana

Shem kama shem 

Oya shem kama shem 

Shem kama shem 

Utanitoa roho 

Shem kama shem 

Utanitoa damu 

Oya shemeji la dunia 

We mke wetu miaka mia 

Shem lake 

Mimi nakwambia hapa tunaoa na tumepania 

Shem lake 

Una nyota kali sana mwanetu anakutafakari sana 

Shem 

Nakuchana couple yenu itafika mbali sana 

Wote 

Shemeji mrudie mwana

Oya shem kama shem 

Shemeji mrudie mwana

Shem kama shem 

Oya shem kama shem 

Shem kama shem 

Utanitoa roho 

Shem kama shem 

Utanitoa damu 

Shemeji - Mabantu Ft Baddest 47

Related

ADVERTISEMENT