Read Zagamua Lyrics By Baddest 47 Featuring Mabantu
Read and enjoy Zagamua Lyrics by Baddest 47 featuring Mabantu. The song has been a street anthem and marks another time Baddest 47 has released a hit song.
READ ALSO: Read Washa Lyrics By Abdu Kiba Featuring K2ga
Nasikia unavyozagamua hivi nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unavyozagamua hivi nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unaruka matuta hivi nami umeskia natembea na mafuta (umeskia)
Kanywa bbia za makuruta kachezeshwa mashuu kashikishwa ukuta (umeskia)
Hivi hujaskia kwamba nna mihela au umeskia umekausha imekukera (umeskia)
Ka unapiga piga kisela demu mwenyewe mbovu anabebwa na camera (umeskia)
Hivi hujaskia ka si mapopo hatuchaguagi sehemu ya kurukaga makopo (umeskia)
Ujana changamoto yani nalewa chini kunawaka moto (umeskia)
Nasikia unavyozagamua hivi nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unavyozagamua hivi nawe unasikia navyoizagamua
Unacheka nna haujachekeshwa upendo wa kweli upo brother mchawi pesa tu (umeskia)
Bila kwikwi bila hata presha shemeji analika tatizo lako wenge (kumaanisha nini)
Upo nyonyo niko mbupu nilikosa uwezo ila chupuchupu
Eti chips ndogo kuku nusu malaya mnajua kukatika au meme wa luku
Usitie cchumvi kwenye sugar maana hakuna baridi piga stori vizuri na jirani (umeskia)
Mwaga pesa kama njugu man hakuna kibamia inategemea una pesa gani (umeskia)
Wadangaji eeeh mi ndo danga lenu, mkiweza nichune me ndo buzi lenu
Masela eeeh mi ndo mchizi wenu mwagilia moyo bwana siyo shida zenu
Nasikia unavyozagamua hivi nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unavyozagamua hivi nawe unasikia navyoizagamua