Read Washa Lyrics By Abdu Kiba Featuring K2ga
Read and enjoy Washa Lyrics By Abdu Kiba Featuring K2ga. The song is produced by Tanzanian one and only Mocco Genius.
READ ALSO: Abdukiba Ft. Christian Bella – Nalingi Ye
Read and enjoy Washa Lyrics By Abdu Kiba Featuring K2ga Below :
Ka shorii kako pindo yeah unajua kwake mi ndo yeee
Hodari wa mitindo yeah hanaga maringo yeah kokote nitakwenda naye
Acapella nitaimba naehawataki mwenye mwampendaye mi ndo baba na yeye ndo mama yeah
Hot stories
Hata nikimkosa kidogo nikiwa,bali naye kidogo
Kama pochi mi ndo bank anaye ntang'ang'ana kama ruba naye
Mi dereva kama utingo nae wanasema siachani nae
Kama pochi mi ndo bank anaye ntang'ang'ana kama ruba naye
Mi dereva kama utingo nae wanasema siachani nae
Baby umeniwasha washaaa mi nasema umeniwasha washaa
Baby umeniwasha washaaa mi nasema umeniwasha washaa
Mwenzako moyo ushaukamata herufi zote A mpaka Be
Nateleza kkwako pruu mpaka maka na hizk vocal zako Yemi Alade
Kiporo usikifanye kikachacha kasoro nami sijakamilika
Nipo Lindo nakesha sina hata presha Dua na Sala kuomba Mungu apokee
Wala ssina mashaka Mola akitaka wasiotupenda waache waone donge
Kama pochi mi ndo bega anaye ntang'ang'ana kama ruba naye
Mi dereva kama utingo nae wanasema siachani nae
Na kama pochi mi ndo bega anaye ntang'ang'ana kama ruba naye
Mi dereva kama utingo nae wanasema siachani nae
Baby umeniwasha washaaa mi nasema umeniwasha washaa
Baby umeniwasha washaaa mi nasema umeniwasha washaa