SHARE

Read Wote Lyrics By Harmonize

SHARE

Read Wote Lyrics By Harmonize. Wote is found in Harmonize's recently released third album titled Made For Us.

READ ALSO: Read Die Lyrics By Harmonize

Read Wote Lyrics By Harmonize Below:

Mwenzako zikianza story za mapenzi
Mfano wakwanza Ni wewe
Hadi marafiki zangu wananicheka
Naukumbuka ushenzi tulofanyaga
Mi nawe mwenzako mi nakuonea vibwenga
Hata wakisema maneno
Ni bure maana nyani halionagi kundule
Wanachotaka tuachane uzurure watucheke kikowapi
Ujana una mengi na mengine na mi nimefanya
Siwez danganya nishamaliza
Kila niliempaga moyo autunze
Basi aliugawanya ona nilihanya ikaniumiza
we unanijali unanivumilia
I wish tuzeeke wote
I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
yeah mule kuhan
unanipenda
I wish tuzeeke wote
I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho

Mapenzi sa ukiondoka nitabaki na Nani
Mapenzi ukibaki nitaondoka na Nani
Siwezi peke yangu

Yeah
Mama ukiongeza nitajinenepea,
Unavyo nigombeza nakuona una care
Eti hatujapendeza wanatufokea mi
I don’t care ndo nishakolea
cough

Kipofu nishaona mwezi vurugu vurugu siwezi
Leo sinza kesho kinyerezi Mara mbezi
Ujana una mengi na mengine na mi nimefanya siwez danganya Nishamaliza
Kila niliempaga moyo autunze Basi aliugawanya ona nilihanya Ikaniumiza
We unanijali unanivumilia
I wish tuzeeke wote
I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
yeah mule kuhan
unanipenda
I wish tuzeeke wote
I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho
I wish I wish I wish

Mapenzi sa ukiondoka nitabaki na Nani
Mapenzi ukibaki nitaondoka na Nani
Siwezi peke yangu

Related

ADVERTISEMENT