Read Utaonaje Lyrics By Billnass Ft Rayvanny
Read, sing aloud and enjoy Utaonaje Lyrics By Billnass Featuring Rayvanny. The song has been well received by fans since the day of release.
READ ALSO: Read Mzuri Lyrics By Barnaba Classic Featuring Rayvanny
Read, enjoy and sing aloud Utaonaje Lyrics By Barnaba Featuring Rayvanny Below:
Asa kwanini nikublock, utaonaje? Ninavyovimba, utaonaje?
Yani kwanini nikublock, utaonaje? Ninavyoringa utaonaje?
Hot stories
Nasema kwanini nikublock utaonaje? Ninavyovimba utaonaje?
Asa kwanini nikublock utaonaje? Ninavyoringa Utaonaje?
Utaonaje utaonaje, utaona? Utaonaje Utaona
Utaonaje ninavyovimba utaonaje utaona?
VERSE 1
Niko kwa flight nasubiri ku departure, nikikublock utaonaje sasa?
Maisha pombe na muziki ka darasa, nikitoa Dubai natua Mombasa
X wangu amuone demu wangu sasa, jinsi alivyotakata, vile tulivyojipata, si atajifia na kifafa
Nikublock nikublock kitu gani? Unataka kuroga nenda karoge pangani
Nikublock nikublock kitu gani? Maneno ya mkosaji eti malipo duniani
Kwanza mi mwenyewe brand, ninapotamba watoto hawatambi,
Wanaonichukua nawazidi hadi dhambi Baba wa familia halafu Mama Nandy,
Wambie Kanibless Mungu Jah! Nabahati sina gundu njaa, upepo mwanana Zanzibar
Halafu anaenitukana yuko mwinde Bar
CHORUS
Asa kwanini nikublock, utaonaje? Ninavyovimba, utaonaje?
Yani kwanini nikublock, utaonaje? Ninavyoringa utaonaje?
Nasema kwanini nikublock utaonaje? Ninavyovimba utaonaje?
Asa kwanini nikublock utaonaje? Ninavyoringa Utaonaje?
Utaonaje utaonaje, utaona? Utaonaje Utaona
Utaonaje ninavyovimba utaonaje utaona?
VERSE 2
Najua una bando kama huna sema nikutumie,
Nataka ni post majigambo ili wachawi wote ndo muumie
Wanaomba nifeli nataka salamu ziwafikie, Aaaah niko vizuri kweli kweli,
he he acha dawa tu iwaingie
Oooh yaya
Nazidi kung'ara ukiniombea mikosi, ufukara sina sa niko kibosi, bata kila siku sio mpaka Jumamosi,
najua hujala ila naposti misosi
Oya wachawi nishanunua gari, nishanunua nyumba hapo vipi? Hapo vipi?
Mnaoniroga pemba, mi huku nishajenga hapo vipi? Hapo vipi?
Wambie Kanibless Mungu Jah! Nabahati sina gundu njaa, upepo mwanana Zanzibar
Halafu anaenitukana yuko Bunju Dar
CHORUS
Asa kwanini nikublock, utaonaje? Ninavyovimba, utaonaje?
Yani kwanini nikublock, utaonaje? Ninavyoringa utaonaje?
Nasema kwanini nikublock utaonaje? Ninavyovimba utaonaje?
Asa kwanini nikublock utaonaje? Ninavyoringa Utaonaje?
Utaonaje utaonaje, utaona? Utaonaje Utaona
Utaonaje ninavyovimba utaonaje utaoona