SHARE

Read Pole Lyrics By Mbosso Featuring Ruby

SHARE

Read And Enjoy Pole Lyrics By Mbosso Featuring Ruby. The song has been well-received since the day of its release.

READ ALSO: Read Huyu Hapa Lyrics By Mbosso

Read And Enjoy Pole Lyrics By Mbosso Featuring Ruby Below:

Ooh sweet sweet sweet nisikilize
Sweet sweet niseme nimaliza
Mungu ametukutanisha sweet
Anamaana yakee
Mungu katuunganisha sweet wewe
Kwa neema zake

I told my mom i want to marry you
Nitakuja kwenu nitoe mahali
Mi na we tuanze safari ya mbali kina
Mbaazi na choroko utofauti utaujua
Jungu juu wake ukoko yanini kukwangua


Mie ndama kwako mtoto husije kunikafua
Penzi tulipashe moto wakigusa waungua
Mithiri ya watoto mapacha tunavyopendana
Mambo ya uzungu na usasa tunayopeana


Penzi twalivujisha pakacha tunavujiana
Wale wenye uchu wa paka ili penzi lawakwama

Baby nasikia twawaumiza
Pole tunawapa pole
Penzi lawakereketa
Pole tunawapa pole
Ooh hasidi watu wabaya
Pole tunawapa pole
Wameze panado pengine watapoa
Pole tunawapa pole
Eeh eheeh

Sweet sweet sweet nisikilize
Sweet ayiih sweet nami nikujuze
Eyh shubiri shubiri chungu honey
Nashindwa kuficha siri yetu yachumbani
We baba umekithiri mahabani
Akili yangu na mwili tahabani
Eyh penzi upepo lapepea (pepe)
Honey twende mbali (pepe)
Kuni nitazichochea (choche)
Baby uje tupae walii
Mithiri ya watoto mapachaa
Tunavyopendana
Mambo ya uzungu na usasa
Tunayopeana
Penzi linavuja kwa pakacha
Tunavujiana
Wale wenye uchu wa paka
Hili penzi lawakwama

Baby nasikia twawaumiza
Pole tunawapa pole
Penzi lawakereketa
Pole tunawapa pole
Ooh hasidi watu wabaya
Pole tunawapa pole
Wameze panado pengine watapoa
Pole tunawapa pole

Related

ADVERTISEMENT