SHARE

Read Huyu Hapa Lyrics By Mbosso

SHARE

Read, enjoy and sing aloud Huyu Hapa Lyrics By Mbosso. The song has become a hit even before its official release

READ ALSO: Moyo Lyrics By Mbosso Ft Costa Titch & Phantom Steeze

Read Huyu Hapa Lyrics By Mbosso Below:

Liwalo na Liwe leo namtangaza Sitaki nishauriwe Eeeh namtangaza

Huyu hapa huyu nampenda Huyu hapa huyu ananipenda

Sijarogwa ndugu yenu ni mapenzi ninayopitwa

Mwana kanipa kisamvu kipapatio nyama ya njiwa

Huyu hapa huyu nampenda Huyu hapa huyu ananipenda

Sheba Sheba Sheba Sheba Sheba Sheba Ajejejeje Iyaaah

Chuki mkichukia hamtushughulishi Sizi la masufuria halitakati kwa jiki

Debu Tupu Oooh Debe Tupu Acha zako kelele

Bure wajikausha sauti Acha zako kelele

Tandika mkeka ukae utulie Acha zako kelele

Sisi bado bado Acha zako kelele

Ooooh Huyu hapa huyu nampenda Huyu hapa huyu ananipenda

Sa twende tiriri, tiriri tiriri Waonyeshe tiriri tiriri Oooh baby tiriri

Tiriri Tiriri Tiriri Tiriri

Tiriri Tiriri Tiriri Tiriri

Sisemi nae Eeeeh sisemi nae Sisemi nae Eeeeh sisemi nae

Huyo dungae embe sisemi nae Mkurubia zinaa sisemi nae

UTI mwanakaswende Sisemi NE Oooooh Aaaah Eeeh Sisemi Nae

Alidhani ntadharirika sisemi nae Nimepata wakuridhika Sisemi nae

Ooooh nshatembeza block sisemi nae Sio hadhi yangu tena sisemi nae

Debu Tupu Oooh Debe Tupu Acha zako kelele

Related

ADVERTISEMENT