Read Only You Lyrics By Marioo Ft Jux
Read Only You Lyrics By Marioo Ft Jux. The song is track number 6 in Marioo's debut album titled "The Kid You Know"
READ ALSO: Read Siwezi Lyrics By Marioo
Read Only You Lyrics By Marioo Ft Jux Below:
VERSE 1
Ikitokea sijalala nimekosa usingizi hata moyo wa kula sina
Ikitokea nna amani moyoni nna amani hata moyo wak kula sina
Hot stories
Talk to me my love talk your love medicine to me yani dawa
You are the only one for me we ndo tamu yangu
Me chochote we niambie ni sawa (sawa)
Vitu vyote vizuri kwenye dunia
Wabaki navyo waniachie wewe my wangu (my wangu)
Wapo wengi wazuri kwenye hii dunia
Ila siwataki uliye kwenye moyo wangu
CHORUS
Only you only you only you only you
We ndo nakupenda (only you)
VERSE 2
Hata waseme umeniroga kwangu mi sioni ubaya
Vile nimepagawa kwako we kama umeniroga
Acha waseme mi muoga bado sioni mbayaa
Nahofia bila wee baby umeniroga
Oooh mama moyo wangu nitekee
Usiniachee mpweke utaniumiza
Oooh mama moyo wangu mtekee
Usiniache mpweke utaniumiza
Vitu vyote vizuri kwenye dunia wabaki navyo
Waniachie wewe my wangu Wengi waazuri kwenye dunia
Ila siwataki uliye ndani ya moyo wangu
CHORUS
Only you only you only you only you
We ndo nakupenda (only you)