Read Mwamba Lyrics By Rayvanny
Read Mwamba Lyrics By Rayvanny. The song marks another time Rayvanny has created a hit song in Tanzania
READ ALSO: Read Nateswa Lyrics By Rayvanny
Read Mwamba Lyrics By Rayvanny Below:
Namleta shemeji yenu mumuone Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Namleta shemeji yenu mumuone Namleta shemeji yenu mumuone
Hot stories
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Mara akivaa ozi mwamba hana matatizo mwamba
tajiri hana baya mwamba yaani amenyooka mwamba
Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo
Mungu kanipa yeye anayenifaa
Wambea najua inawachoma mukaroge Tanga Bagamoyo
Mungu Kapanga yeye hauwezi kukataa
Namkumbatia hamnifanyi chochote tena
namshika namchumu hamsemi chochote
Nambeba pia hamnifanyi chochote huyu wangu
Natamba simwogopi yeyote
Mama Amina Bele Amina Belebele
Mama Amina Bele Amina Belebele
Mwache apite mbele apite mbele mbele
Mwache apite mbele apite mbele mbele
Namleta shemeji yenu mumuone Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Namleta shemeji yenu mumuone Namleta shemeji yenu
Mumuone mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Hana kipele mwamba sio baili mwamba tena hajarogwa mwamba tajiri amenoga
Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo Mungu kanipa yeye anayenifaa
Wambea najua inawachoma mukaroge Tanga Bagamoyo
Mungu Kapanga yeye hauwezi kukataa
Namkumbatia hamnifanyi chochote tena namshika namchumu hamsemi chochote
Nambeba pia hamnifanyi chochote huyu wangu natamba simwogopi yeyote
Mama Amina Bele Amina Belebele Mama Amina Bele Amina Belebele
Mwache apite mbele apite mbele mbele Mwache apite mbele apite mbele mbele
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone mwamba huyu
hapa mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Namleta shemeji yenu mumuone Namleta shemeji yenu mumuone
mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa