SHARE

Read Ipo Siku Lyrics By Vijana Barubaru

SHARE

Read Ipo Siku Lyrics By Vijana Barubaru. The song has been well-received in Kenya and East Africa in general.

READ ALSO: Read Sasa Hivi Remix Lyrics By Vijana Barubaru Featuring Nandy

Read Ipo Siku Lyrics By Vijana Barubaru Below:

Japo ni napata kidogo ninalisha familia vitu

nimeweka kwa moyo haiwezi didimia 

Baridi hunipiga kwa soko

mmmh angalau nipate mia

siku nitarudi kwa uongo hakuna deni nitawaachia 

Baba nibariki mimi nimshiriki bariki

pia watu wangu tusikose ridhiki

tusichoshwe na dhiki Mungu pitia kwangu 

Nyumbani tusiridi mikono mitupu walau tujazie

kasuku tuache Mayai tukule mamake kuku 

Ipo siku ipo siku one day Najua ipo siku mama one day

watatuombea mabaya lakini hatutafeli 

Ipo siku najua one day najua Ipo siku ipo siku one day

Najua ipo siku mama one day watatuombea mabaya lakini hatutafeli 

Kitu yangu ikinifinya naumiaga solo kiraka labda

labda tu kwa nguo sijivunji moyo 

Wananilrnga kila siku nikiwaomba Mungu ndo

malengo sauti yangu anaichora 

Tuko stanza naishangi ile nanzanga shimo nimejitoa watu wengi

nazamanga pesa ni down na sina pesa ya kwenda pharmacy

umasikini homa wapi tambala ya makamasi 

Nimechelewa ndoa kuna watu nalea za chama sijatoa

nitatumaje fare nadunga Sunday bado

Niki ngoja bless ni Shetani alinitest my performance was the best 

Yes Lord unanipenda me tremendously ukibariki wengine

sometimes I get jealous pole nilianza na mwili nitamaliza na roho 

Usimalizane na mimi ni mimi ama chedoo, nibariki 

Ipo siku ipo siku one day Najua ipo siku mama one day

watatuombea mabaya lakini hatutafeli 

Ipo siku najua one day najua Ipo siku ipo siku one day Najua ipo siku mama one day  watatuombea mabaya lakini hatutafeli 

Mungu baba when you remember me ukinipa nyama nipe kachumbale

usikufe moyo kuwa nami kwenye safare 

Mungu baba when you remember me ukinipa nyama nipe kachumbale

usikufe moyo kuwa nami kwenye safare 

Yes Lord unanipenda me tremendously ukibariki wengine

sometimes i get jealous pole nilianza na mwili nitamaliza na roho 

Ipo siku ipo siku one day Najua ipo siku mama one day

watatuombea mabaya lakini hatutafeli 

Ipo siku najua one day najua Ipo siku ipo siku one day

Najua ipo siku mama one day  watatuombea mabaya lakini hatutafeli

Related

ADVERTISEMENT