Read Sasa Hivi Remix Lyrics By Vijana Barubaru Featuring Nandy
Read Sasa Hivi Remix Lyrics By Vijana Barubaru Featuring Nandy. The remix is now making waves in East Africa.
READ ALSO: Read Sasa Hivi Lyrics By Vijana Barubaru Ft Ashley Music
Read Sasa Hivi Remix Lyrics By Vijana Barubaru Featuring Nandy Below:
Washajua wazazi
Pacha wangu mimi mwili wewe nafsi
Furaha yangu hata tusombwe na simanzi
Mapenzi upofu ntakufuata hadi gizani
Uuuje ushanichagua ruhusu nikutunze
Jinsi ya kukupenda nijifunze
Hadi uzeen penzi tulikuze
Hiyo naeza guarantee
Kesho yetu usifananishe na jana
Lami na reli hazitoshani upana
Uchumi mbaya but I’ll spend my todays with you
Leo ikona guarantee
Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana
You’re my rose but I’ll still give you your flowers
Ntakupenda sahii na ka si sahii
Ni sasa hivi
Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana
You’re my rose but I’ll still give you your flowers
Ntakupenda sahii na ka si sahii
Ni sasa hivi
Sasa hivi sasa hivi sasa hivi
Nakupenda sahiii
Soon ntakusave na love emoji nitoe official name
PDA bila uwoga juu licence ni pete
I’ll buy some boxers, you can share with me
Uwache kuvisit uishi na me
Kifunguu nkutolee copy usizubae kwa gate
Vitunguu tutoane ngozi uchi ujionyeshe
Si valentines nikueke archives pale kwa TV
L’azma uolewe and it must be me
Kesho yetu usifananishe na jana
L’ami na reli hazitoshani upana
Uchumi mbaya but I’ll spend my todays with you
Leo ikona guarantee
Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana
You’re my rose but I’ll still give you your flowers
Ntakupenda sahii na ka si sahii
Ni sasa hivi
Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana
You’re my rose but I’ll still give you your flowers
Ntakupenda sahii na ka si sahii
Ni sasa hivi
Hivi Nakupenda sasa hivi
I'll give you your flowers
Sipendi your favorite artist but nakupenda nta compromise
Klabu date ya smocha humind vile burger sifiki price
Kuona movie kwa lapi ni intimate hatuwezi sjikana kwa theatre
Nikwandalie candle lit dinner tokens kidogo vile meter inateta
Kuna tisho flani nimebuy baggy si tuone vile itakuvaa
Ati games gani? Hapa labda kadi I’ll never play with your heart
Twende house hunting tupange nyumba bila intentions za kuikaa
Naeza kopa gari twende nayo nanyuki but hio ni trip ya njaa
Ugumu wa mkate huishia kwa chai si twende kibanda
Yetu ni simu iko kwa moto charge inaenda ikipanda
Buroti maguta maguta you are my fertile kiwanda
Ukipotwa ntakutafuta I'm one half you are the other