Read Hanipendi Lyrics By Yammi
Read Hanipendi Lyrics By Yammi. Read. The love song is track number 3 in Yammi's debut EP dubbed 3 Hearts.
READ ALSO: Read Tunapendezana Lyrics By Yammi
Read Hanipendi Lyrics By Yammi Below:
Hivi unavyonifanyia naomba visijirudi kwako
Maana mi naupenda moyo wako
Nimemuonaaa dah.. umempost mtu wako
Mnaendana sanaa na mimi sio type yakoo
Nateswa na baridi silalii na weweseka
Kulikosa penzi lako dosari na dhalilika
Wakunipendeza amekuwa dhohari nyinyi nataabika
Zile njozi sizipati nzuri
Ooohhhh
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena jamani hanipendi
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena hanipendi..
Kabadilika kawa mbogo instagramu ana post madongo
Kautupa moyo kwa korongo sioni kasha nipa chongo
Mapenzi swala la uwongo siamini nime chezeshwa sodo
Mwenzenu nime ukoka moto
Unaniunguza mwenyewee
Nateswa na baridi silalii na weweseka
Kulikosa penzi lako dosari na dhalilika
Wakunipendeza amekuwa dhohari nataabika
Zile njozi sizipati nzuri
Ooohhhh
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena jamani hanipendi
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki tena hanipendi