Read Tunapendezana Lyrics By Yammi
Read Tunapendezana Lyrics By Yammi. The song is a package found in Yammi's critically acclaimed debut EP titled 3 Heart.
READ ALSO: Read Namchukia Lyrics By Yammi
Read Tunapendezana Lyrics By Yammi Below:
Acha nikubembeleze kwa ushahiri na utenzi
Ahsante Mwalimu, Mwalimu wa mapenzi
Sogea niku non'goneze neno zuri la mapenzi
Hot stories
Kukuacha ni sumu labda apange Mwenyezi
Nyoyo zetu zime shikamana baba umeziba ufa
Kasoro zetu twavumiliana twatenganishwa na kufa
Si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa chepa
Mimi oo oo
Baby ooo ooo
Tume pendezaa tuna pendezana
Aaaaah!! Tume pendezana
Tuna pendezaa tume pendezanaa
Aaaah!! Tumependezana
Hata kama wakisema una machafu mengi
Siyaoni nimekwama shimo la mapenzi
Mi kwako nishatulizana kun'goka siwezi
Mimi ooo ooo
Ooo ooo
Nyoyo zetu zimeshikamana baba umeziba ufa
Kasoro zetu twavumiliana twatenganishwa na kufa
Si kati yetu dosari hakuna baby umeni chepa chepa
Mimi oo oo
Baby ooo ooo
Tume pendezaa tuna pendezana
Aaaaah!! Tume pendezana
Tuna pendezaa tumependezanaa
Aaaah!! Tume pendezana