SHARE

Read Namchukia Lyrics By Yammi

SHARE

Read Namchukia Lyrics By Yammi. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa in general.

READ ALSO: Read Tunapendeza Lyrics By Ibraah Featuring Harmonize

Read Namchukia Lyrics By Yammi Below:

Uzuri si hadithiwi nayaona

Haya hapa nayaona

Mabaya yako kwa macho yangu nayaona

Sio kwamba napenda kuwa kin’gan’ganizi tatizo mazoea

Nimekuzoea sidhani kama ntapona

Napiga simu namba inatumika kila dakika

Kumbe ameni block ameni blacklist amenichoka

Roho inajenga sumu hata nkifika mbinguni nimechoka

Mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake

Wallahy namchukia kumfahamu najutia

Wallahy namchukia kumfahamu najutia

Unayo fanya si unaona uko sawa basi kazana

Si unapenda hivi nnavyolia na kun’gan’gana

Haujuwi ustaarabu unachojuwa ni kufoka na kutukana

Na hivi nilivyo bubu mama kanifunza nidhamu ni kukaa kimya

Sio kwamba napenda kuwa kin’gan’ganizi tatizo mazoea

Nimekuzoea sidhani kama ntapona

Napiga simu namba inatumika kila dakika

Kumbe ameni block ame ni blacklist amenichoka

Roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka

Mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake

Wallahy namchukia kumfahamu najutia

Wallahy namchukia kumfahamu najutia

Namchukia - Yammi

Related

ADVERTISEMENT