SHARE

Read Hadithi Lyrics By Barnaba Classic Featuring Diamond Platnumz

SHARE

Read, sing aloud and enjoy Hadithi Lyrics by Barnaba Classic Featuring Diamond Platnumz. The Bongo Fleva Tune is the opening track in Barnaba Classic's recent studio album "Love Sounds Different"

Barnaba Classic, Diamond Platnumz Hadithi Lyrics

READ ALSO: Barnaba Classic Finally Releases His “Love Sounds Different” Album | SEE DETAILS

Read aloud and enjoy Hadithi Lyrics By Barnaba Classic Featuring Diamond Platnumz Below:

VERSE 1

Oooh mtume roho yangu inashindwa kuvumilia, si kwa mahaba anayonipa, yazidi mpaka namwagikiwa

Ananipa vinono mpaka nahisi changanyikiwa, hongera wake somo mtoto kafundwa katimilia

Wali kwa maini maji ya mdalasini na nikirudi nyumbani ananiuliza nianze chakula ama mimii

Hapo ndo ananivurugaga, kichwa kinaniumagaaa, ndo maana nimewaitaga, mnipe ushauri

CHORUS

Aaaaha Hadithi Hadithi Tamu Kolea, Mwenzenu mimii tamu kolea, Mchumba wangu Tamu Kolea, Aaah sisemii, Tamu Kolea

Aaaaha Hadithi Hadithi Tamu Kolea, Mwenzenu mimii tamu kolea, Mchumba wangu Tamu Kolea, Basi sisemii

VERSE 2

Kanionesha jua la asubuhi, lavyopenya kwa dirisha na mizungu ambayo siijui amenifundisha, Shombo la maharani amenisafisha yaya, kama hoi sijitambui navyojibebisha

Aaaaaah oooh, Mmmh kanitunza mahaba tamu kutaraji taa (lebe lebee)

Kibababaa michezo ya makida kida (lebe lebe)

Tunawakera waja mbona mtapata shidaa, niwape siri labda puto limepata mwibaa

Aaaaha eee nilonge nsilonge (longaa) Mwenzenu mimi (longaa) My Baby wangu (longaaa) Mi namlove

CHORUS

Hadithi Hadithi Tamu Kolea, Mwenzenu mimii tamu kolea, Mchumba wangu Tamu Kolea, Basi sisemii, Tamu Kolea

Aaaaha Hadithi Hadithi Tamu Kolea, Mwenzenu mimii tamu kolea, Mchumba wangu Tamu Kolea Hapo Sisemi

OUTRO

Ati ona mtoto kataka nami sijivungi, nampa nampa tena nampa.

Nampa ale kusaza, nampa nampa tena nampa

Sibakizi hata tonee, nampa nampa tena nampa

Nampa kitu anapenda, nampa nampa tena nampa,

Nampa tamu tamuuu, nampa nampa tena nampa

Ale ajigaragaze, nampa nampa tena nampa

Related

ADVERTISEMENT