Read Raha Lyrics By Nandy
Read Raha Lyrics By Nandy. The Bongo Fleva song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa.
READ ALSO: Read Falling Lyrics By Nandy
Read Raha Lyrics By Nandy Below:
Nawaza ingekuwaje kama ningekukosa
Nawaza
Ina maana hizi raha zote ningezikosa
Nawaza
Penzi limenikolea kama mtoto
Nashindwa tembea
Raha zimenibobea
Kwa mama nitakusemea
Si wanasemaga penzi bonde na milima
Nipeleke unachonipaga
Usidiriki kuninyima
Mi nideke
Penzi limetaradadi oya halima
Acha nicheke
Nilale ama mi nisisimame wima
Unanipa raha
Nazidj kuwa mdogo
Mi sikuwi
Unanipa raha
Nifanye kitafunwa unile
Unanipa raha
Zidi kunifundisha sivijui
Unanipa raha
Nianze kukulisha ndo nile
Oooh Ooooh
Oooh Ooooh
Hadi kuacha zinaisha
Nikikuona nazing’ata
Unavyonizubaisha
Mi napagawa
Oooh yani tu
Tuache yote tisa
Kumi nakupa limbwata
Unavyoniburudisha
Mi napagawa
Nakupenda unanipenda
Mpaka raha
Nikikuona tu nashiba sina njaa
Hili penzi limejawa na furaha
Wakikuiba natoa mtu kafara
Si wanasemaga penzi bonde na milima
Nipeleke unachonipaga
Usidiriki kuninyima
Mi nideke
Penzi limetaradadi oya halima
Acha nicheke
Nilale ama mi nisisimame wima
Penzi limetaradadi oya halima
Acha nicheke
Nilale ama mi nisisimame wima
Unanipa raha
Nazidi kuwa mdogo
Mi sikuwi
Unanipa raha
Nifanye kitafunwa unile
Unanipa raha
Zidi kunifundisha sivijui
Unanipa raha
Nianze kukulisha ndo nile