Read Falling Lyrics By Nandy
Read And Sing Aloud Falling Lyrics By Nandy. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa.
READ ALSO: Nandy Returns With A Brand New Single "Falling" | LISTEN
Read And Sing Aloud Falling Lyrics By Nandy :
Ooh baby umenikamata you’re eyes on me
Kwa moyo hakuna matata ushaweka kambi
Hauna baya hauna kona hauna dhambi
Tazama usoni my one and only
Mimefalling kwa penzi lako nishadata data data
When you calling me sauti yako inanikamata Tata
çAnd you know me when am falling
Yeah yeah yeah
Ni mapenzi yamenishika haswa
Sasa ndo nini ninavyompenda huyu hapa
Saivi navimba nikitembea nanata
Naenjoy mapenzi shata shata
Ooooooh Oooooh
Ooooooh Oooooh
Kucheza nitaimba na kucheza
Kucheza nitaimba na kuchezaaaa
Kucheza nitaimba na kucheza
Kucheza nitaimba na kuchezaaaa
Ooooooh Oooooh
Ooooooh Oooooh
Mimefall kwa penzi lako nishadata data data
When you calling me sauti yako inanikamata Tata
In morning nacheza rumba cha cha cha cha
And you know me when am falling
Yeah yeah yeah
Ni mapenzi yamenishika haswa
Sasa ndo nini ninavyompenda huyu hapa=
Saivi navimba nikitembea nanata
Naenjoy mapenzi shata shata
Ooooooh Oooooh
Ooooooh Oooooh