SHARE

Pambe Lyrics By Maua Sama |READ

SHARE

Read and enjoy Pambe Lyrics By Maua Sama. The song has been well received by fans around Tanzania and East Africa in general.

Pambe Lyrics By Maua Sama

READ ALSO: Nioneshe Lyrics By Maua Sama Ft Ali Kiba

Read, enjoy and sing aloud Pambe Lyrics By Maua Sama Below:

VERSE 1

Wanatamani unitose boy wapate kusemaga

Nami nijaze ujuzi show iwe kama zagazaga

Eeeh useme ni koloni koloni ndo utavyonichanganya

Ukanipange huko sokoni kama fungu ya nyanya

Ujue mwenzio mwenzio umeshanishika masikio

Kipenda roho penda roho kamatia baba

Wangu moyo mbio mbio achana nao viredio

Furaha ikageuka kilio zingatia baba

BRIDGE

Nakamata chaga kasheshe gonga ndani tucheze

Makida rede changanya mazaga

CHORUS

Hooo baaby mambo nipambe wacha nkugande pambe pambe yooo

Pambe pambe yooo pambe pambe yoooh

Nusu yangu unayo wewe usiondoke nikamilishe

Wasiniibe mapedeshee wakucheke unidhalilishe

Uuuh baby umenimurder kwako nimekaa nimejenga kibanda nda nda nda

Usiku unanipaga bada bing bada boom usikate shanga nga nga nga

BRIDGE

Nakamata chaga kasheshe gonga ndani tucheze

Makida rede changanya mazaga

CHORUS

Hooo baaby mambo nipambe wacha nkugande pambe pambe yooo

Pambe pambe yooo pambe pambe yoooh

Related

ADVERTISEMENT