SHARE

Nioneshe Lyrics By Maua Sama Ft Ali Kiba

SHARE

Read the official lyrics to Nioneshe by Maua Sama Ft Ali Kiba. The critically acclaimed song is track number 3 on her Cinema EP which dropped a few days ago.

Maua Sama Nioneshe Lyrics

Read and Enjoy the official lyrics to Nioneshe by Maua Sama Featuring Ali Kiba:

VERSE 1

Oooh Baby

Ukinigusa nyang'ang'anya mwenzako sijiwezi

Mi kipofu napapasa juu yako

Nahisi hakuna amani nisipokuona nyumbani moyo unajawa tafarani

Kuchi kuchi chumbani haziishi kichwani hasa pale ukiwa mbali nami

Chochea kuni kwa kishindo jiko lako ni mimi

Unipe joto joto mpenzi kwenye baridi

Nitang'ang'ana nawe nitabaki nawe sitokuacha mpweke hey

Shika nishikilie usiniache mimi chunga wasiniteke hey

BRIDGE

Honey mi kwako nazima taa nitafune unavyotaka, kiuno sindimba chakacha serebuka unavyotaka heyy

CHORUS

Nioneshe (ooh aaah) Niweke (Eeeh) Tepetepe (Please show me)

Nioneshe (Oooh girl) Niweke (Aaah) Tepetepe (mwendo ule ule)

VERSE 2

I like the way i touch your body

I like the way i touch your body maaa

I like the way I touch your body

(Oooh Noo/Oooh Noo me love)

Sina kauli kwako

I don't know what to say

Utundu wako, unauweza show

Kiukweli unanijali mpaka unaiota oooh me love

I like the way i touch your body

I like the way i touch your body maaa

I like the way I touch your body

(Oooh Noo/Oooh Noo me love)

BRIDGE

Honey mi kwako nazima taa nitafune unavyotaka, kiuno sindimba chakacha serebuka unavyotaka heyy

CHORUS

Nioneshe (ooh aaah) Niweke (Eeeh) Tepetepe (Please show me)

Nioneshe (Oooh girl) Niweke (Aaah) Tepetepe (mwendo ule ule)

Related

ADVERTISEMENT