Niamini Lyrics By Hamadai Ft Ali Kiba | READ
Read the official lyrics to Niamini by Hamadai featuring Ali Kiba. The song has been brewing a storm in Tanzania partly due to its well-arranged vocal interplay between Hamadai and Ali Kiba and also its catchy and bouncy lyrics.
READ ALSO : Hamadai Taps Ali kiba In A New Song Titled Niamini
Read, sing aloud and enjoy the official lyrics of Hamadai's Niamini ft Ali Kiba:
VERSE 1
Oh baby mwezi hauishi takuvisha pete
Niaamiiini
Vicheche sina mpango nao nimeacha mapepe
Niaamiiini
Takutunza takupamba umeremete
Niaamiini
Me kwako sina ujanja ah mpechempeche
Niaamiini
CHORUS
Baby niamini ,
Baby niamini,
Nakuomba niamini,
Baby niamini ,
Niaminii ,oooh .., niamin
Niaaminii
VERSE 2
Sasa hivi nkienda club hata dem sitongozi
Niaaminii
Hata kulewa silewi namuogopa mwokozi
Niaaminii
Sitamani kuona ukilia ntakufuta machozi
Niaaminii
Takukanda kanda ntakunyoosha masozi
Niaminiii
CHORUS
Baby niamini
Baby niamini, nakuomba niamini
Baby niamini
Niamini, ooh, niamin
Niaaminnii
VERSE 2
Ntajenga sanamu lako pale posta wakipita wakuone
Niaminiii
Kwenye shoo nitataja jina lako tu wenye wivu iwachome
Niaaminii
Mmmmhh, nakupeenda baby
Niaamiini
Kama uamini nikupost baby
Niaamini
CHORUS
Baby niamini
Baby niamini , nakuomba niamini
Baby niamini
Niamini,, ooh niamini
Niaamiinii
VERSE 3
Natamani nkupe mimba, kichefuchefu nibaki nacho mwenyewe
Niamiiini
Ama niende Tandahimba, nkuchinjie mbuzi unielewe
Niaamini
Ukitaka nyimbo takuimbia kikongo, sonni wela
Niaaminii
Sitatumia fimboo, ukinkosea ntakuchapa na helaa
Niaminii
CHORUS
Baby niamini
Baby niamini,,nakuomba niamini
Baby niamiini
Niamini,, ooh.. niamini
Niaamiiiinnii
VERSE 4
Ukipata case ya kufungwa nipo radhi wanipeleke mimi jela
Niamiini
Uta enjoy life baaby japokuwa hali yangu kabwela
Niaaminii
Talk to me
Basi niamini
Ooh baby
Niamini,. niamin oooh ,niamiiniiiii
Niaaminii