SHARE

Read Nikuone Lyrics By Dayoo

SHARE

Read Nikuone Lyrics By Dayoo. The song marks another time that Dayoo has created a smash hit in East Africa

READ ALSO: Read Nikuone Remix Lyrics By Dayoo Ft Kusah

Read Nikuone Lyrics By Dayoo Below:

Aaah, umenikaa kichwanii

Ndoto zangu kuwa na wewe

Au kwani, uko nchi gani

Ama uko far away

Au uko Puerto rico china

Niambie nije huko me

Maana me natanga tanga

Kipofu niso na mwanga

Me simjui jina wala kabila ila nimezamaa kina kirefu 

Nishawahi kumuona ila kwa fikiraa

Uzuri wake hakuna kama yeyeee (haataa)

Nipige gita maina

Nikuimbie kutwa I’m ready

Na ningeijua namba hata ningekucheki baasi

Nipige gita maina

Nikuimbie kutwa I’m ready

Ningeijua namba yako hata ningekucheki basi 

Nikuonee

I’m waiting for you

Nakusubirii

Nikuonee

Hata nikiona mikono ntajua ni wewe tu

Nikuonee

Maana macho yako kama una aibu

Nikuonee

Achana na mikono tuangalie miguu

Ooh my baby 

Oyeee

Na ulivyo special na haka kamoyo nikupe

Chote chote

Twende chuga uchagani

Ama unataka Dodoma twende kote kote

Nikupeleke kwa mama

Na kifatacho ndoa tuoanee

Nausitake madrama, makiki ya mitando tuachaneee

Nipige gita maina me

Nikuimbie kutwa I’m ready

Na ningeijua namba yako hata ningekucheki basi

Nipige gita maina

Nikuimbie kutwa I’m ready

Na ningeijua namba yako hata ningekucheki basi

Nikuonee

I’m waiting for you

Nakusubirii

Nikuonee

Hata nikiona mikono ntajua ni wewe tu

Nikuonee

Hata macho yako kama una aibu

Nikuonee

Achana na mikono tuangalie miguu

Related

ADVERTISEMENT