SHARE

Read Nikuone Remix Lyrics By Dayoo Ft Kusah

SHARE

Read Nikuone Remix Lyrics By Dayoo Ft Kusah. The song marks another time Dayoo created a buzz in Tanzania.

READ ALSO: Mapopo ( Commando)Remix Lyrics - Mavokali Featuring Rayvanny

Read Nikuone Remix Lyrics By Dayoo Ft Kusah Below:

Aaah umenikaa kichwanii

Ndoto zangu kuwa na wewe

Au kwani uko nchi gani

Ama uko far away

Au uko Puerto rico china

Niambie nije huko me

Maana me natanga tanga

Kipofu niso ona mwanga

Me simjui jina wala kabila

 ila nimezamaa kina kirefu 

Nishawahi kumuona ila kwa fikraa

Uzuri wake hakuna kama yeyeee (hataa)

Nipige gita maina

Nikuimbie kutwa I’m ready

Na ningeijua namba hata ningekucheki baasi

Nipige gita maina

Nikuimbie kutwa I’m ready

Ningeijua namba yako hata ningekucheki basi

Nikuonee

I’m waiting for you

Nakusubirii

Nikuonee

Hata nikiona mikono ntajua ni wewe tu

Nikuonee

Kwanza macho yako kama una aibu

Nikuonee

Achana na mikono tuangalie miguu

We umeumbwa umbwa umbwaje 

Kwa udongo ama kwa chuma 

Yani ume umbwaumbwa umbwaje 

Khuba lako lanitesa 

We umeumbwa umbwa umbwaje

Yaani hoi taabani 

Mimi naumwaumwa umwaje 

Jama Mungu kaumba balaa

Ameuchoma moyo ganzi 

Nikimuwaza naonaga raha 

Anayaponya na maradhi 

Hata

Nipige guitar minor

Nikuimbie kutwa I'm ready 

Ningeijua namba yako basi ningekucheki baadae 

Nikuonee

I’m waiting for you

Nakusubirii

Nikuonee

Hata nikiona mikono ntajua ni wewe tu

Nikuonee

Kwanza macho yako kama una aibu

Nikuonee

Achana na mikono tuangalie miguu

Nikuone Remix

Related

ADVERTISEMENT