SHARE

Read Napambana Lyrics By Zuchu

SHARE

Read Napambana Lyrics By Zuchu. The song is Zuchu's first inspirational project and her second song in 2023.

READ ALSO: Read Utaniua Lyrics By Zuchu

Read Napambana Lyrics By Zuchu Below:

Naamka asubuhi sina ata buku sh dala

Chakukila sijui bora ata pakulala

Nyumbani matandabui mende wamefanya utawala

Na mjomba panya haelewi ridhiki yake hasara

Eeh! Kwacha kwacha nakwenda nakwenda

Sijakubali kudoda hii ngoma isambii

Na ndoto za alinacha sijapenda sijapenda

Aliekupa kigoda mie atanipa kumbi

Nipate ntoke patupu (kawaida hiyo)

Siku nzima niambulie buku (yakwangu sijaiba hiyo)

Husiniulize naishije mjini (napambana)

Niokote machupa niuze siso (napambana)

Ata nkidanga jamani hacheni(napambana)

Niwe kondana ubungo migomigo (napambana)

Aaah eeeh iiih (napambana)

Aaah eeeh oooh (napambana)

Maji ya mdimu maji ya mdimu (saga saga saga saga)

Eeh Mungu wangu baba baba baba

Ziitikie dua zetu waja

Wapate magari sita nane saba

Tuvae gucci fend namikwada

Wewe acha kumbwela

Mungu habagui anawapa hadi ngedere

Uh wewe (wewe tafuta hela wanaokudharau watakuheshimu mbele)

Eh! Nipate ntoke patupu (kawaida hiyo)

Eti Siku nzima niambulie buku (yakwangu sijaiba hiyo)

Husiniulize naishije mjini (napambana)

Niokote machupa niuze siso (napambana)

Ata nkidanga jamani hacheni(napambana)

Niwe kondana ubungo migomigo (napambana)

Aaah eeeh iiih (napambana)

Aaah eeeh oooh (napambana)

Mikono juu mikono juu mikono juu

Wapambanaji mikono juu mikono juu

Sasa husimcheke aloshindia chunga

(Aliekula kala)

We wa biriani shibe hile hile (aliekula kala)

Maharage roho ugali kilo kumi (aliekula kala)

Ukikula pizza bagger shibe hile hile (alikula kala)

Mama aliekula kala (alikula kala)

Aah aliekula kala (alikula kala)

Napambana Lyrics - Zuchu

Related

ADVERTISEMENT