SHARE

Read Nakuja Lyrics By Nay Wa Mitego Featuring Phina

SHARE

Read Nakuja Lyrics By Nay Wa Mitego Featuring Phina. The song marks another time Nay Wa Mitego has made a hit song

READ ALSO: Read Hanipendi Lyrics By Yammi

Read Nakuja Lyrics By Nay Wa Mitego Featuring Phina Below:

Tell me where you at tell me where you at baby 

Najisogeza eeeh 

Tell me where you at tell me where you at baby 

Najisogeza eeeh

Hey Darling nakuita 

Sema kama unakuja nipate unapika ooh 

Si unapenda zege nishapika 

Njoo faster mwenzako zinamwagika 

Nikuvutie ganja ndo nikule 

Aaaaah 

Alafu nikugeuze geuze kama kitumbua vile 

Aaaah 

Juu sina muda wa kupoteza eeeh 

Basi nakuja najisogeza eeh 

Mi sina muda baby wa kupoteza eeeh 

Basi nakuja darling Najisogeza eeeh 

Tell me where you at tell me where you at baby 

Najisogeza eeeh 

Tell me where you at tell me where you at baby 

Najisogeza eeeh

Ukichiti Moyo Utauma Aaah aaah 

Sogea usikie unavyodunda Aaah 

Ukiwa Mbali unanipa mashaka, shaka 

Sitaki ugonjwa wa presha Aaaah 

Ooooh no no no no Sikuachi sikusaliti 

Sikuumizi kabisa kabisa 

Nikuvutie ganja ndo nikule 

Aaaaah 

Alafu nikugeuze geuze kama kitumbua vile 

Aaaah 

Juu sina muda wa kupoteza eeeh

Basi nakuja najisogeza eeh 

Mi sina muda baby wa kupoteza eeeh 

Basi nakuja darling Najisogeza eeeh

Tell me where you at tell me where you at baby 

Najisogeza eeeh 

Tell me where you at tell me where you at baby 

Najisogeza eeeh

Niambie wapi ulipo mpenzi 

Najisogeza eeeh 

Tell me where you at tell me where you at baby 

Najisogeza eeeh

Related

ADVERTISEMENT