SHARE

Na Na Na Lyrics by Willy Paul ft Marioo

SHARE

Willy Paul Lyrics

Read and sing aloud Na Na Na Lyrics by Kenya's Willy Paul featuring Marioo. The song has been well wll received by fans in Tanzania and beyond.

READ ALSO: Read Tulia (Bebi Shak) Lyrics by Willy Paul

Read Na Na Na Lyrics By Willy Paul Ft Marioo below:

Oooh nana ive never seen your love so beautifully 

Oooh mama ive never seen your love so wonderful 

Umenig’ata honey boy ushaniteka 

Chumbani kwetu bingili unayvyocheza na cucumber 

Baby Baby nakuwaza mpaka kichwa kinauma 

Baby nakupenda sana hata sipendi ukinuna 

My sweet sweet walai nakutaka wewe 

Fundi fundi kwenye dera mwaga maji maji 

Twende tukavute pumzi kilimanjaro 

Si nitazikwa kwa ajili yako 

Umenipanda kichaa 

Baby fanya taratibu baby boo 

Oooooh Aaaah 

Oooooh Nanana Oooooh Nanana 

Oooooh Nanana Oooooh Nanana 

Moyo wangu mimi hapa 

Nishakupa wote wote 

Hata nikiwa mbali niwe kama tuko wote 

Akili yangu yaani hapa nakuwaza muda wote 

Hata kama tukiwa mbali aaaah 

Mwenzako mapenzi yatakuja nitoe roho 

Kama utaniacha Aaaah 

Yako mapenzi ni kama yangu roho 

Chonde usije acha kunipenda 

Ooooh nana 

Oooooh Nanana Oooooh Nanana 

Oooooh Nanana Oooooh Nanana

Check Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

Related

ADVERTISEMENT