SHARE

Read 'Mwalimu' Lyrics By Kontawa

SHARE

Read 'Mwalimu' Lyrics By Kontawa. The song has been making waves in Tanzania, East Africa and beyond since the time of its release.

READ ALSO: Read Kamtu Remix Lyrics By Geniusjini Ft Kusah

Read 'Mwalimu' Lyrics By Kontawa Below:

Wananiita mwalimu 

Oya mi ndo mwalimu wee

Najulikana mwalimu 

Kwa sifa zangu mwalimu 

Nimegundua wanafunzi hawasomi sana 

Mwalimu usiposhika fimbo 

Ndo maana wanafunzi wangu 

Mi nawachanganya 

Nikiwaonyesha fimbo 

Kuna mwanafunzi huyo

Katokea Tanga 

Eti kaja shule kiunoni 

Amevalia shanga 

Na alivyo mtundu darasani 

Atapiga misamba 

Nilipotoa fimbo kumchapa 

Akaanza kulia 

Aaaah Eeeeh 

Akaanza kutapatapa 

Teacher uschape huko 

Nataka unichape hapa 

Nami nlivyo mwehu mtoto 

Nikamkamata 

Nkamchapa mchapa viboko 

Weee vya fasta fasta 

Aaaah Eeeeh 

Mtoto akaanza kulia 

Teacher uschape hivyo mwenzako 

Mi naumia 

Na ukichapa sana ntakosa cha kukalia 

Maana fimbo yako 

Nashindwa kuvumilia 

Wananiita mwalimu 

Ooooh mwalimu 

Wananiita mwalimu 

Ooooh mwalimu 

Wananiita mwalimu 

Ooooh mwalimu 

Wananiita mwalimu 

Ooooh mwalimu 

Huyu mwanafunzi ni hatari

Anakuja kusoma physics 

Usiku mkali 

Mwenzenu mi namkubali 

Ila mwalimu wa Mathe 

Alisema hatofika mbali 

Tate tate tatalila to 

Kuna mwanafunzi wa kiume 

Anamletea ubishoo 

Sa kuna siku iliniuma 

Nilivyowafuma stoo 

Nikamfanyia figusu mwanafunzi 

Yule akapata four 

Sina unyonge nikiwa darasani 

Ukifanya makosa namshikisha 

Ukutani 

Kwanza nna mazonge 

Mashahara hauonekani 

Ukipagawa napandisha 

Chumba cha mtihani 

Huyu mwanafunzi ananitia mawenge 

Eti anasema teacher fimbo 

Yako Bongebonge 

Amechukua kamera 

Lengo lake aniyumbe 

Arekodi fimbo yangu 

Itrend ka teacher Konde 

Wananiita mwalimu 

Ooooh mwalimu 

Wananiita mwalimu 

Ooooh mwalimu 

Wananiita mwalimu 

Ooooh mwalimu 

Wananiita mwalimu 

Ooooh mwalimu 

Related

ADVERTISEMENT