Read Kamtu Remix Lyrics By Geniusjini Ft Kusah
Read And Sing Aloud Kamtu Remix Lyrics By Geniusjini Ft Kusah. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Read Kamtu Lyrics By Geniusjini
Read And Sing Aloud Kamtu Remix Lyrics By Geniusjini Ft KusahBelow:
Haka labda kameniroga
Maana sio bure
Hili huba nnalo mi linanichanganya
Hot stories
Labda dawa amekoroga
Maana yamenoga
Penzi flani la kukoroga
Nyama nyama nyama
Mkiona nenenepa, nina vimba
Ni hata kamtu
Mkiona sionekani, nimefichwa
Na hata kamtu
Nakajengea sasamu
Mkaaone mkaone mkaone
Nakachora na tattoo
Mkaaone mkaone mkaone
Ooh baby I promise you
I go be your backup
I go be your real baby
I go be your daddy
Na when you miss me baby, call me
Anything you want baby, tell me
Baby I promise you I go be your size
So let me make you queen of my life
I will never leave you alone
Because many many things
You know about me
Mkiona nenenepa, nina vimba
Ni hata kamtu
Mkiona sionekani, nimefichwa
Na hata kamtu
Nakajengea sasamu
Mkaaone mkaone mkaone
Nakachora na tattoo
Mkaaone mkaone mkaone
Hakana maringo ooh na nikarembo
Katoto cha watu na hakajishauwi
Yani ndondondoo oh si nchururu
Ndege kwa urimbo nimetulia tuli.