SHARE

Read Maokoto Lyrics By Billnass Ft Marioo

SHARE

Read Maokoto Lyrics By Billnass Ft Marioo. The song has been well received by fans in Tanzania and East Africa in general.

READ ALSO: Read Puuh Lyrics By Billnass Featuring Jay Melody

Read Maokoto Lyrics By Billnass Ft Marioo Below:

We zombie sikutaji humu eeeh 

Alooooh 

Nimemuacha mama nyumbani 

Nimeaacha wadogo 

Nimemuacha babe nyumbani 

Nimeacha uroda

Nimemuacha baba nyumbani 

Nimeaacha wazee

Kuna shida nyumbani oohhooo

Kwahiyo boss 

Mmmmhhh

Zingatia maokoto 

Aloooo 

Si ndio boss 

Zingatia maokoto 

Naenda kama kichwa ujue nikifelisha hakuendiki 

Maliwato 

Nisipofanikisha itaota majani ile njia ya 

 Maliwato 

Tumetoka far away 

Tumekuja kutafuta hela 

Nishamwaga jasho 

Yote nataka hela 

Tumetoka far away 

Tumekuja kutafuta hela 

Usilete maneno maneno

Naomba hela yangu 

Alooooo

Nasema boss nataka changu 

Oyaaaahhh eeeehhhh 

Naomba ela yangu 

Nakuheshimu boss nataka changu 

Kichwa changu hakiko sawa 

Nilipe nisepe 

Baba mwenye nyumba ananidai 

Nilipe nisepe 

Oooohh

Leo siko sawa 

Nilipe nisepe 

Usistake tushikane matai 

Nilipe nisepe 

Boss boss hizo noti noti 

Kata pasu langu 

Zingatia maokoto 

Jua langu mvua yangu 

Aisee nipe changu 

Zingatia maokoto 

Boss boss hizo noti hilo jasho langu 

Zingatia maokoto 

Juaclangu mvua yangu 

Aisee nipe changu

Zingatia maokoto 

Tugiwana majengo mimi naenda jela 

We mzee 

Nikiongea kwa vitendo utaniona mimi msela 

We mzee 

Naenda kama kichwa  ujue nikifelisha hakuendeki 

Maliwato 

Nanisipofanikisha itaota majani ile nija ya

Maliwato 

Tumetoka far away tuimekuja kutafuta hela 

nishamwaga jasho yote nataka hela 

Tumetoka far away tumekuja kutafuta hela 

Usilete  maneno maneno 

Naomba hela yangu 

Alooooo

Nasema boss nataka changu 

Eeeehhh

Oyaaaah eeehhhh 

Naomba hela yangu 

Nakuheshimu boss nataka changu changu 

Kichwa changu hakiko sawa nilipe nisepe 

Baba mwenye nyumba ananidai 

Nilipe nisepe 

Oooooh 

Leo siko sawa 

Nilipe nisepe 

Usitake tushikane matai 

Nilipe tusepe  

Related

ADVERTISEMENT